Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Josephine ndiye adui wa Dr. Slaa. Dr. anaishi umatekani. Mke anamfungia Serena Hotel. Nje kuna ulinzi hatakiwi kuonanana watu wasiopangwa na Ccm pamoja na Josephine. Akitoka anakwenda chini ya usalama wa taifa.

Hapa ni dhahiri hata cha ksuema anaambiwa na siku akileta za kuleta Josephine siyo mtu!.

Sasa ninapata picha pana sana inayoungana na kuleta ukweli usio shaka.

Dr. Slaa yuko umatekani.

Josephine Mshumbusi si binadamu!

Iko namna ya kumkomboa Dr. Slaa kutoka kwa anaconda. Mungu anaweza!.
 
Aseme leo, si ameandaa mwenyewe shughuri sasa anakimbia wapi tena? na mie nina swali kwake, tunataka kujua kanisa lake linahusiana vipi na siasa za CDM/Ukawa, na je ni sahihi kama taasisi ya kidini kuhusika akitivuli katika siasa?
 
Huyu slaa anajiaibisha sana hivi si alikuwaga padri kwani hawezi kurudia tena upadriNisaidieni?
 
Kule chechemea hakunga watu wenye akili ya kimkakati bali wako busy kulinda wizi na ufisadi

QUOTE=erick13;13923862]Namashaka na uwezo wa kitengo cha propaganda CCM hivi hamuoni kwamba hiyo mbinu ya kumchafua Lowassa kwa tuhuma za ufisadi na udini hazifanyi kazi?

nawashauri badilisheni mbinu nyingine kama kweli mnataka kubaki madarakani ,

1}Lowassa ni taasisi sio mtu mmoja kama mnavyodhani.

2}Taasisi Iliyojijenga zaidi ya miaka 30, mitandao kila kona ya nchi, huwezi kuchafua kwa tuhuma nyepesi zisizo na ushahidi .

3} Yawapasa kuchunguza kwanini toka mmeanza kumchafua badala ya wafuasi kupungua ndio wanazidi kuongezeka??

Tafakari kwa makini tafuteni mbinu nyingine , huo ni ushauri wa bure kabisa.

___________________________________________________________________________________________[/QUOTE]
 
mkutano wa gwajima waandishi wameonekana kumshangilia Lowasa na kuamua kumzomea muuliza swali ambaye hakupangwa pale alipombana gwajima! Huyu mtu analitakia nini taifa hili?

ACHA UONGO... HAUPO ENEO LA TUKIO NA HUJUI KINACHOENDELEA

Huyu mzee anasema Gwajima kwakua ni rafiki wa Slaa basi amsapoti Slaa ili wamshitaki Lowassa. Hiyo ndio ilikua hoja yake ndio mana watu wakamzomea.
 
Kwa nini asingezisema leo?...

Gwajima ni zaidi ya Mwanasiasa....
 
Mimi naomba audio nzima ya tukio hili itupiwe hapa kama jinsi ile ya kubenea ilivyotupiwa hapa!
 
Josephine ndiye adui wa Dr. Slaa. Dr. anaishi umatekani. Mke anamfungia Serena Hotel. Nje kuna ulinzi hatakiwi kuonanana watu wasiopangwa na Ccm pamoja na Josephine. Akitoka anakwenda chini ya usalama wa taifa.

Hapa ni dhahiri hata cha ksuema anaambiwa na siku akileta za kuleta Josephine siyo mtu!.

Sasa ninapata picha pana sana inayoungana na kuleta ukweli usio shaka.

Dr. Slaa yuko umatekani.

Josephine Mshumbusi si binadamu!

Iko namna ya kumkomboa Dr. Slaa kutoka kwa anaconda. Mungu anaweza!.

Ulikuwepo?
 
Who is Gwajima in this Country? ni askofu wa kanisa? ni kiongozi wa siasa? giza na mwanga haviwezi kukaa pamoja. alianza kumtukana Askofu Pengo, leo anasema wakatoriki wana akiri sana. Harafu anatukana usalama wa taifa na kuwapa onyo kali. Viongozi wa kiroho wachunge kondoo waache kufanya siasa wanaweza kuingiza nchi katika machafuko. kama ni uhuru basi huu unaelekea kupitiliza. please TISS do the needful to protect our country.

Haha mkuu punguza hasira, nimemsikiliza mwanzo mwisho ila sijaona mahali alipo tukana TISS labda hapa unaweza nisaidia na mimi nijie mkuu alivyowatukana
 
Who is Gwajima in this Country? ni askofu wa kanisa? ni kiongozi wa siasa? giza na mwanga haviwezi kukaa pamoja. alianza kumtukana Askofu Pengo, leo anasema wakatoriki wana akiri sana. Harafu anatukana usalama wa taifa na kuwapa onyo kali. Viongozi wa kiroho wachunge kondoo waache kufanya siasa wanaweza kuingiza nchi katika machafuko. kama ni uhuru basi huu unaelekea kupitiliza. please TISS do the needful to protect our country.

Hao usalama wa taifa pi ni kondoo wa Gwajima.
 
Yani wamechemka kila mahari wanaharibu pesa nyingi kutengeneza mikanda ya kufubaza upinzani, wakati huo upinzani ndio unakua zaidi na zaidi, jana bunju tu , ndio watu wameamini kuwa hakika Lowasa ni jabari na halina ubishi kuzuirika.
 
nadhani muda si mrefu chadema watakuja na mume wa kwanza wa josephine kuelezea alivyoibiwa mke muvi bado mbichi kabixaaaa
 
Gwajima ni mnafiki, kaeleza dr ni mzizi na alichukua mke wa mtu, lakini hasemi ya kwake na flora mbasha.
Askofu, tena anajiita kiongozi wa roho anarecord mazungumzo ya mtu ambaye amemfuata kufanya confession

Hilo halikuwa sehemu ya mkutano wa leo
 
ekhe! Tanzania Daima kesho na Mawio + or Mwanahalisi alhamisi, I can't wait kuona kitakachoandikwa.

TanzaniaDaima litaandika :
GWAJIMA AWAACHA WATANZANIA MIDOMO WAZI, AMKAMUA DR SLAA KWEUPE .

Mawio litaandika :
DR SLAA AVULIWA NGUO NA GWAJIMA.

Mwanahalisi:
KICHWA CHA DR SLAA, DEREVA WAKE NI MKEWE - GWAJIMA.
 
Back
Top Bottom