Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Gwajima ni mnafiki, kaeleza dr ni mzizi na alichukua mke wa mtu, lakini hasemi ya kwake na flora mbasha.
Askofu, tena anajiita kiongozi wa roho anarecord mazungumzo ya mtu ambaye amemfuata kufanya confession
 
ekhe! Tanzania Daima kesho na Mawio + or Mwanahalisi alhamisi, I can't wait kuona kitakachoandikwa.
 
Hahahaha usaliti noma..... Wazee wa Lumumba mbona siwasomi humu
 
The cassava achukue maji kwenye kikopo aende chooni akanawe tu. Hahahhahahaha
 
Mda mrefu anautumia kutuambia mambo ya familia ya dr slaa wakati ya kwake naye tunayajua na kina mbasha,,, jibu hoja gwajima tupé uthibitisho kwa nini hawa maaskofu 30 hawakuchukua mlungura?? wale viapo na wewe kula kiapo mbele za Mungu kama hukusema hayo maneno ,, dr alikuwa jasiri siku nyingi kuyasema haya kabla hata 2015 leo eti mnakuja kutuambia tatizo urais,, kwani dr slaa ameanza kumuita leo LOWASSA fisadi?? Gwajima hiyo ngoma huiwezi tunakuona kituko au mkurupukaji tu kama lissu,, ndio wale mliitwa vifaranga na ZZK,, sio bure ila kuna shida mahali inawasukuma lakini ni muda ndio utasema,, GWAJIMA leo amekuwa lulu na watanzania mnamsikiliza wakati enzi zile watu wako msituni wanapambana yeye alikuwa bize na kanisa lake,, hana jasho wala damu kwenye harakati hizi za kujikomboa baadala yake tunamuona kama kibaraka tu,, slaa ametoka jasho na damu kwenye hizi harakati na wengine mlikuwa mkila tu keki ya taifa kwa kuchangisha waumini wenu eti leo mko Mbele kuwakebehi mtu kama dr slaa... Jibu hoja gwajima na kutengeneza ushahidi utakaofanya watu wakuamini na si hizi sinema..
 
leo maaskofu wamekuwa wazuri wakati alimtukana Askofu Pengo kama motto mdogo? hana credibility ya kuongea huyu, mtu mwenye uwezo wa kumtukana mzee ambaye ni sawa na baba yake kama Askofu pengo, hawezi kuongea lolote la maana.
So far anaongelea maisha binafsi ya Dr. Slaa ambayo hatuyahitaji hapa (maana kila mmoja ana maisha ya mahusiano ambayo sio masafi), tunataka ajibu hoja kama ni kweli aliunganisha mchakato wa Lowasa kuhamia huko. kama issue ni kuachana na mke na kuwa na mke mwingine, mtafuteni mwenyekiti wa chama chenu mumuulize mkwe alivyompiga bao ustawi wa jamii na ndoa kutupwa kule kule sababu ya ufuksa wake.

Kimaadili hayupo sawa lakini kwetu sisi hana kosa kwa kutuweka wazi.
 
Dk. Slaa akijotokeza na Kutukana Maaskofu pamoja na Mashekhe nitaweka wazi Mizigo na Watu aliokutana nao alipokwenda Afrika Kusini "

Askofu Gwajima ameyasema hayo leo wakati akiongea na Waandishi wa Habari ambapo pia ametaka Maofisa Usalama waache Vyama Vya Siasa vipambane vyenyewe bila kutetea Upande wowote.
 
Bora mtu ukosee kujenga nyumba 400... sio ukosee kuoa

Siyo amekumbwa na radhi ya mkewe kweli! watu wasipende kuruka ruka toka mke huyu hadi mwingine!:bange:
 
Ndugu zanguni

Nimeshangazwa sana leo kuona eti Gwajima kawa ndio msemaji wa UKAWA

Niwaulize tu, hivi mashehe nao wangepanda jukwaani kisiasa kama Gwajima hii nchi ingekuaje?

Tunakoelekea sio kuzuri, UKAWA ni wadini na wanatupeleka kubaya.

Hii nchi sio ya kidini na haina dini

… jikite kwenye hoja, acha kujificha nyuma ya makhe…
 
Unakumbuka ile thread yako ya Mgombea urais UKAWA atapatwa sijui na nini kuanzia jumatatu, baada ya wewe kupenyezewa........issue sasa kwa kihaya watu husema hivi "Omuhigo gwainduka akami kabingembwa" Yaani mawindo yamebadilika, sungura anamfukuza mbwa..........

Tulia hivohivo.............

Chonka Ta Muganyiziiiiiiiiiiiiiiii.
 
Yaani wao wanatumia nguvu nyiiiiingi kumwongelea Lowasa (as an individual) badala kunadi sera zo kwa wananchi..
 
Hivi watu wanaosema Gwajima kamshumbulia mtu binafsi mlitaka Gwajima ajibu hoja gani za Slaa zaidi ya hizo maana Slaa alimshambulia Gwajima personal zaidi ndio maana na yeye kajibu vile alivyoshutumiwa au mlitaka Gwajima ajibu issue za Richmond? Watanzania bana wakati gwajima anaitwa mshenga na maaskofu walivyoambiwa wamepewa rushwa wala hamkuona kama hizo ni personal attacking..sasa uyo mshenga ndio na yeye kaeleza ilivyokua sijui ata mlitaka Gwajima ajibu vipi. Na Slaa alisema kabisa kuwa Gwajima ndio kamwambia kuwa maaskofu wamehongwa, sasa mlitaka Gwajima ajibu vipi zaidi ya yeye kueleza ilivyokua
 
Back
Top Bottom