Yaan huyo anatuletea mambo ya ndoa za watu
Sizani kama ndoa ya DR Slaa watanzania inatuhusu
Ndoa zetu nitosha kabisa tunachotaka nimambo ya msingi yenyekujenga taifa letu la Tanzania, au nayeye kahongwa aseme tu ukweli
Kipato kinapatikana hapa hapa!nyie kama mnapata muda wa kufuatilia watu wapuuzi kama akina gwajima kazi za kuwapatia kipato mnazifanya saa ngapi?
Hapa ndipo Gwajima anapojidhihirishia kuwa yeye ni Mshenga
Gwajima anavyofanya siyo vizuri dash!?Anamvua nguo Dr mihogo kabisaa.
Amfanyie nini
Muda umeshafika,vipi TBC watarudia kipindi kama walivyorudia cha Dr
Hapa ndipo Gwajima anapojidhihirishia kuwa yeye ni Mshenga