Gwajima ameonesha umahiri wa kujibu maswali ya waandishi
Huku Gwajima amechemkaaaaa.....amei personalisr hii issue
Gwajima hajajibu hoja zaidi ya vijembe umbeya
Mimi simuelewi kabisa huyu Gwajima, sasa yy ni mchungaji/au ni kada wa Chadema, anaongea mambo ya kisiasa kabisa na kutetea hija za kisiasa wakati yeye ni mtu wa dini, au ndo ametumwa na CHADEMA katika harakati za kuzima hoja za Slaa, anajimaliza kabisa kiroho, na wala waumini wenye uelewa wasigeweza kumuamini tena....ya kaisari mwachie kaisari na ya Mungu ampe Mungu
Usalama ni usalama wa nchi siyo usalama wa CCM.Gwaa anawaonya Maafisa Usalama.
Hapa ndipo Gwajima anapojidhihirishia kuwa yeye ni Mshenga
Umahiri gani wa kumwambia mtumishi mwenzie wa Mungu mpumbavu? mbona hakujibu maswali yake akaanza kujibu wale wanaopata bahasha za Lowasa tu?
Mkuu tupe ushauri tutumie mbinu gani,maana naona kila mtu anafanya lake,na tukiendelea hivi Meli yetu inaweza kuzama!Namashaka na uwezo wa kitengo cha propaganda CCM hivi hamuoni kwamba hiyo mbinu ya kumchafua Lowassa kwa tuhuma za ufisadi na udini hazifanyi kazi?
nawashauri badilisheni mbinu nyingine kama kweli mnataka kubaki madarakani ,
1}Lowassa ni taasisi sio mtu mmoja kama mnavyodhani.
2}Taasisi Iliyojijenga zaidi ya miaka 30, mitandao kila kona ya nchi, huwezi kuchafua kwa tuhuma nyepesi zisizo na ushahidi .
3} Yawapasa kuchunguza kwanini toka mmeanza kumchafua badala ya wafuasi kupungua ndio wanazidi kuongezeka??
Tafakari kwa makini tafuteni mbinu nyingine , huo ni ushauri wa bure kabisa.
___________________________________________________________________________________________
watanzania ndoa ya dr slaa sie haituhusu, hayo ni mambo binafsi na kujadili mambo binafisi ya mtu kwenye social media ni upumbavu uliokithiri kila mtu anamapungufu yake kwenye ndoa yake. HAPA KAZI TU.
Gwajima ni mnafiki, kaeleza dr ni mzizi na alichukua mke wa mtu, lakini hasemi ya kwake na flora mbasha.
Askofu, tena anajiita kiongozi wa roho anarecord mazungumzo ya mtu ambaye amemfuata kufanya confession
ni kama slaa alivyomshambukia lowasa personally hukuona hilo?