sio kweli ingawa risk za maambukizi ya magonjwa ya ngono ni kubwa zaid wakati wa hedhi na hii hasa ni kwa mwanamama.
kama anahamu mpe doziAsante. So kumbe naruhusiwa kubidua anytime anapokuwa na hyo makitu ee?
....but act dirty...!!!
linapatikana wapi hili soko huria na mie nikauze bidhaa yangu!!!!!!!!!!
Please let's be serious, kweli kabisa Siku 3tu ndani ya 28 huwezi kuvumilia??!! Kweli kabisa!!? Huo unaitwa ulafi
kama anahamu mpe dozi
:help:
hapo ndo utaona umuhimu wa nyumba ndogo!!!
:A S 39:
Please let's be serious, kweli kabisa Siku 3tu ndani ya 28 huwezi kuvumilia??!! Kweli kabisa!!? Huo unaitwa ulafi
Hii tabia ya kuandika chochote ndo inaharibu jukwaa,changia maudhui kwa hoja na si vioja
Puchu ndo nini?Plan B; puchu..!!
what do you mean??
unless kama na wewe ndo wale wale waliokaririshwa
linapatikana wapi hili soko huria na mie nikauze bidhaa yangu!!!!!!!!!!
Asikudanganye haishii mapajani tu atataka na zaidi na mwishowe atazamisha kabisa
Wanaume wana ushawishi wa ajabu kabisa, unafahamu wazi kuwa huyu yuko breed, na hawezi fanya chochote lakini bado unamshawishi kuwa utaishia mapajani tu...si kweli hutaweza kuishia hapo
Bleed ni kitendo cha kiasili cha mwili wa mwanamke kujisafisha kwenye via vya uzazi, Kwahiyo awapo kwenye kipindi hiki uchafu mwingi hutoka lakini kuna wanaume aidha kwa kutojua madhara yake ama kwa kupuuzia hupenda kulazimisha kufanya ngono hii ni mbaya na ni hatari kwa afya yako
Kama mwanamke jifunze kusema Hapana Siku 3-5 si nyingi kuwa atakufa na nye.get zake, asikudanganye kuwa ataishia mapajani au ataweka jivu