Asikudanganye nitaishia mapajani

Asikudanganye nitaishia mapajani

Mambo hubadilika sometimes..na hiyo alternative unayotaka kufanya sijui ni ipi lakini unaweza jikuta unaingia uko usikotarajia...

Hapana bwana do u mean to tell me wewe bila libolo mechi haifungiki?!


wat is wrong apo?mkianza tu inakata...myb useme tu ni kinyaa..but being nasty z da whole fun of t

Asiiiiiii!????? Research yako ndo imekuonesha hivo??! Ushawahi kujaribu?

Mdogo wangu wewe...kuna nasty nyingine hazifai except tu kwa 'fear factor'!!! Hii ambayo ni 4/5 days in a month kweli inaepukika please!
 
Hapana bwana do u mean to tell me wewe bila libolo mechi haifungiki?!




Asiiiiiii!????? Research yako ndo imekuonesha hivo??! Ushawahi kujaribu?

Mdogo wangu wewe...kuna nasty nyingine hazifai except tu kwa 'fear factor'!!! Hii ambayo ni 4/5 days in a month kweli inaepukika please!

Aku mimi sijamaanisha hvyo....ila safari moja huanzisha nyingine
 
Wengine hawajali, Kwani blood ya period na ya kutoka bikira ni ipi ina madhara.
 
Asikudanganye haishii mapajani tu atataka na zaidi na mwishowe atazamisha kabisa

Wanaume wana ushawishi wa ajabu kabisa, unafahamu wazi kuwa huyu yuko breed, na hawezi fanya chochote lakini bado unamshawishi kuwa utaishia mapajani tu...si kweli hutaweza kuishia hapo

Bleed ni kitendo cha kiasili cha mwili wa mwanamke kujisafisha kwenye via vya uzazi, Kwahiyo awapo kwenye kipindi hiki uchafu mwingi hutoka lakini kuna wanaume aidha kwa kutojua madhara yake ama kwa kupuuzia hupenda kulazimisha kufanya ngono hii ni mbaya na ni hatari kwa afya yako

Kama mwanamke jifunze kusema Hapana Siku 3-5 si nyingi kuwa atakufa na nye.get zake, asikudanganye kuwa ataishia mapajani au ataweka jivu

Hakuana madhara makubwa kufanya ngono wakati wa hedhi kama unafanya usafi kabla na baada ya kufanya . ila uepuka usumbufu wa jinsi hiyo ni bora uaksubiri kwa mbona ni siku chache tu. vunja ukimya waelimishe waume wenu katika hili.
kwaheri
 
Breed and bleed.
All of the above

breed
/briːd/
verb
verb: breed; 3rd person present: breeds; past tense: bred; past participle: bred; gerund or present participle: breeding
1.
(of animals) mate and then produce offspring.
"toads are said to return to the pond of their birth to breed"synonyms: reproduce, produce offspring, procreate, bear young, multiply, propagate; Moremate;
literarybeget offspring
"Asian elephants breed readily in captivity"


cause (an animal) to produce offspring, especially in a controlled and organized way.
"bitches may not be bred from more than once a year"
 
halafu wewe inaelekea hujui unachokisema
nani alikwambia kwamba hedhi ni kitu cha kumfanya mtu asibiduke??
nani alikwambia kwamba kiafya lina madhara makubwa ama ndivyo ulivyodanganywa?
je unaamini kwamba wapo wengine huambiwa wabiduke wakati wa hedhi ili binti apate mimba?
binafsi sikumbuki siku hedhi imewah kunifanya nishindwe kubiduka kama ninahamu..............

mmmhhh
makubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom