Asikudanganye nitaishia mapajani

Asikudanganye nitaishia mapajani

Mbona kuna maandiko mengine yanadai kuwa hiyo kitu haina madhara hata kidogo? Wengine wanadai inamsaidia mwanamke kuepukana na kansa ya kizazi; ebu wenye uhakika wa hilo tujuze jamani.

Wangetujuza hasa wale washawahi kufanya kwa hicho kipindi na madhara waliyoyapata ili iwe fundisho kwa hawa wanaume wabishi
 
Hakika walimwengu wa leo tumekuwa watu tusiomwogopa Mungu hata kidogo kwani naamini mambo tunayojadili ndiyo tuyafanyayo na kama ndo hivi kazi tunayo ktk kutafuta ufalme wa Mungu
 
Umenikumbusha Lecturer mmoja wa sheria pale UDSM alikuwa anasemaga ''mwanaume anaomba eti kichwa tu, kwani mabega uliyaona wapi''
Asikudanganye haishii mapajani tu atataka na zaidi na mwishowe atazamisha kabisa

Wanaume wana ushawishi wa ajabu kabisa, unafahamu wazi kuwa huyu yuko breed, na hawezi fanya chochote lakini bado unamshawishi kuwa utaishia mapajani tu...si kweli hutaweza kuishia hapo

Bleed ni kitendo cha kiasili cha mwili wa mwanamke kujisafisha kwenye via vya uzazi, Kwahiyo awapo kwenye kipindi hiki uchafu mwingi hutoka lakini kuna wanaume aidha kwa kutojua madhara yake ama kwa kupuuzia hupenda kulazimisha kufanya ngono hii ni mbaya na ni hatari kwa afya yako

Kama mwanamke jifunze kusema Hapana Siku 3-5 si nyingi kuwa atakufa na nye.get zake, asikudanganye kuwa ataishia mapajani au ataweka jivu
 
Mjadala kama haukusu unaondoka,nyie ndio mnaharibu jukwaa kwa kuchangia nje ya mada.
Hujalazimisha kuingia humu,nenda kaangalie mada zinazokufaa.

Humu tunaelimishana kwa kila jambo. Kama mwenzetu tunakuona unakwenda astray, lazima , we have to comment! and get you on the right track! Keep learning and learning!
 
Naona binadamu tumeshawazidi wanyama..maana wao wanasubiri...

Ndio maana kuna ndoa za jinsia moja siku hizi... wonders never cease
 
Sasa hapo mapajani ndo atafanya nini?akishafika hapo lazima aunganishe labda kama sio mwanaume kamili
 
eti we mtoto, simama kwanza samahani. njia hii inaelekea makaburini?
 
Hakika walimwengu wa leo tumekuwa watu tusiomwogopa Mungu hata kidogo kwani naamini mambo tunayojadili ndiyo tuyafanyayo na kama ndo hivi kazi tunayo ktk kutafuta ufalme wa Mungu

may HE help us from these temptations !! :amen:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom