Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,853
- 113,305
duh hili jukwaa kwa topic ni balaaaaa
Mkuu, humu tunapaweza sisi tu. Nibora upite uende zako, maana usijeona mengi.
duh hili jukwaa kwa topic ni balaaaaa
uMESOMEKA VYEMA KIONGOZI.
Really???????
i don't want to believe this mkuu,
let me ask mr google then i'!l be right back
Ni nini icho?
jAPO SIKUMBUKI NILIISOMA WAPI LAKINI KUMBUKUMBU ZANGU ZINADAI HIYO KITU NI KINGA YA KANSA YA KIZAZI KWA WANAWAKE. HAIKUONGELEWA KWA WANAUME KAMA INA MADHARA AU LAH
tunakusubiri kwa hamu.
Mbona more siwaelewi humu ndani leo!
Itazama wapi, mtoni, ziwani au baharini?
siku nyingi dada; ulikuwa wapi rafiki? tuendelee na mjadala.
Nami ndivo nlivosoma kwenye kitabu cha dk Nelson wa mwanza. Kinaitwa SAYARI YA MAPENZI kama sikosei.
Baharini
Subiri nimalize kupitia dramas
Hata zenye mabega huwa zinazama zote bila kupingwaHaa ha aaaa haaaaaaaa haina mabega hiyoooooo itazama yoote!
Really???????
Asikudanganye haishii mapajani tu atataka na zaidi na mwishowe atazamisha kabisa
Wanaume wana ushawishi wa ajabu kabisa, unafahamu wazi kuwa huyu yuko breed, na hawezi fanya chochote lakini bado unamshawishi kuwa utaishia mapajani tu...si kweli hutaweza kuishia hapo
Bleed ni kitendo cha kiasili cha mwili wa mwanamke kujisafisha kwenye via vya uzazi, Kwahiyo awapo kwenye kipindi hiki uchafu mwingi hutoka lakini kuna wanaume aidha kwa kutojua madhara yake ama kwa kupuuzia hupenda kulazimisha kufanya ngono hii ni mbaya na ni hatari kwa afya yako
Kama mwanamke jifunze kusema Hapana Siku 3-5 si nyingi kuwa atakufa na nye.get zake, asikudanganye kuwa ataishia mapajani au ataweka jivu
Contrary to many cultural and religious taboos, from a medical perspective, menstrual blood is no more dirty than other bodily fluids. Provided you practice safe sex, period sex is perfectly healthy and will not have any adverse effects on your penis or her reproductive orga
Hii nini tena jamani, post chafu kabisa.
Tuendelee kupata shule best,elimu haina mwisho ujue!!!
halafu wewe inaelekea hujui unachokisemaAsikudanganye haishii mapajani tu atataka na zaidi na mwishowe atazamisha kabisa