halafu wewe inaelekea hujui unachokisema
nani alikwambia kwamba hedhi ni kitu cha kumfanya mtu asibiduke??
nani alikwambia kwamba kiafya lina madhara makubwa ama ndivyo ulivyodanganywa?
je unaamini kwamba wapo wengine huambiwa wabiduke wakati wa hedhi ili binti apate mimba?
binafsi sikumbuki siku hedhi imewah kunifanya nishindwe kubiduka kama ninahamu..............