Asikudanganye nitaishia mapajani

Asikudanganye nitaishia mapajani

hivi kweli bado kuna watu wanafanya tendo hilo kwa makubaliano ya kulipana kweli? Kama iliwahi nitokea ya kuulizwa mambo ya pesa ni zamani sana tena mara moja; baada ya hapo sitaki kusikia kitu kama hicho; nisipoeleweka bila hela naachana na mambo hayo.
Tabu yote ya nini kuzunguka mbuyu?,wengine twataka shortcut mda wa kutongoza utoke wapi?
 
Tabu yote ya nini kuzunguka mbuyu?,wengine twataka shortcut mda wa kutongoza utoke wapi?

Chapchap waweza beba vilivyo na madhara. Inanibidi dem nikae naye, nitoke naye out, walau nionekane naye kwa wawili watatu, kama kimeo niambiwe kama nashiti nasepa.
 
Really???????

Contrary to many cultural and religious taboos, from a medical perspective, menstrual blood is no more “dirty” than other bodily fluids. Provided you practice safe sex, period sex is perfectly healthy and will not have any adverse effects on your penis or her reproductive orga
 
Mhhh bado hujanisogelea kipindi hiki...
Utajibeba visiku vyangu vitatu viishe........
 
red hapo juu ndo correct. tuendelee jamani; mjadala ni kwamba ina madhara au haina?

Sure but as far as i know it najua kuna madhara japo wengine wanabisha
 
hapo ndo utaona umuhimu wa nyumba ndogo!!!
:A S 39:
 
ubaya wake ni kuchafua mashuka 2. hakuna kingine me nagonga mara kwa mara tena joto huongezeka
 
Humu ndani kuna mambo jaman mmmmhhhhhh......nachoka mie
 
Sure but as far as i know it najua kuna madhara japo wengine wanabisha

jAPO SIKUMBUKI NILIISOMA WAPI LAKINI KUMBUKUMBU ZANGU ZINADAI HIYO KITU NI KINGA YA KANSA YA KIZAZI KWA WANAWAKE. HAIKUONGELEWA KWA WANAUME KAMA INA MADHARA AU LAH
 
ubaya wake ni kuchafua mashuka 2. Hakuna kingine me nagonga mara kwa mara tena joto huongezeka

niliwahi kugonga pasipo kujua lakini mech ilikuwa babu kubwa, alotoa kahujua kama anakaribia kuingia - nami mgongaji sikujua hilo; ila kumbukumbu yangu ni kwamba huwa ananiuliza ilikuwaje siku hiyo ikawa tamu kiasi hicho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom