Asikudanganye nitaishia mapajani

Asikudanganye nitaishia mapajani

halafu wewe inaelekea hujui unachokisema
nani alikwambia kwamba hedhi ni kitu cha kumfanya mtu asibiduke??
nani alikwambia kwamba kiafya lina madhara makubwa ama ndivyo ulivyodanganywa?
je unaamini kwamba wapo wengine huambiwa wabiduke wakati wa hedhi ili binti apate mimba?
binafsi sikumbuki siku hedhi imewah kunifanya nishindwe kubiduka kama ninahamu..............

Wazee wa musimbazi mupooooo!!!!!!!!!
Red session aint nothn but...
 
Umeona eti!!!!! nashukuru kwa kuwa shahidi wa kweli; swali ni je! ni kweli inakinga? na kama inakinga basi kipindi madem wakiwa apollo wasidemand chochote badala yake walipie hiyo kinga ya kansa ya kizazi.

Hapo sina majibu sahihi ndugu yangu. Myb tusubiri wengine wanajua zaidi
 
Hii nini tena jamani, post chafu kabisa.

Mjadala kama haukusu unaondoka,nyie ndio mnaharibu jukwaa kwa kuchangia nje ya mada.
Hujalazimisha kuingia humu,nenda kaangalie mada zinazokufaa.
 
wnawake wenyewe wanaona utamu sana siku hizo,raha inaongezeka mara 6 scientic studies reveal
 
halafu wewe inaelekea hujui unachokisema
nani alikwambia kwamba hedhi ni kitu cha kumfanya mtu asibiduke??
nani alikwambia kwamba kiafya lina madhara makubwa ama ndivyo ulivyodanganywa?
je unaamini kwamba wapo wengine huambiwa wabiduke wakati wa hedhi ili binti apate mimba?
binafsi sikumbuki siku hedhi imewah kunifanya nishindwe kubiduka kama ninahamu..............

Niliwahi kusikia kuwa yapo madhara kiafya kwa mwanaume endapo atam bidua bila kuvaa kondom mwanamke ambaye yupo hedhini. Je ni kweli?
 
Mh hatari hii,wawezao waendelee tu,navockia knyaa na vle navokerekaga af mtu aje aweke dude huko,af hata yey haun km n kama uchafu?ngenye gan izo ziczovumilika cku tatu?
 
Niliwahi kusikia kuwa yapo madhara kiafya kwa mwanaume endapo atam bidua bila kuvaa kondom mwanamke ambaye yupo hedhini. Je ni kweli?
sio kweli ingawa risk za maambukizi ya magonjwa ya ngono ni kubwa zaid wakati wa hedhi na hii hasa ni kwa mwanamama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom