Asikudanganye nitaishia mapajani

Asikudanganye nitaishia mapajani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Asikudanganye haishii mapajani tu atataka na zaidi na mwishowe atazamisha kabisa

Wanaume wana ushawishi wa ajabu kabisa, unafahamu wazi kuwa huyu yuko breed, na hawezi fanya chochote lakini bado unamshawishi kuwa utaishia mapajani tu...si kweli hutaweza kuishia hapo

Bleed ni kitendo cha kiasili cha mwili wa mwanamke kujisafisha kwenye via vya uzazi, Kwahiyo awapo kwenye kipindi hiki uchafu mwingi hutoka lakini kuna wanaume aidha kwa kutojua madhara yake ama kwa kupuuzia hupenda kulazimisha kufanya ngono hii ni mbaya na ni hatari kwa afya yako

Kama mwanamke jifunze kusema Hapana Siku 3-5 si nyingi kuwa atakufa na nye.get zake, asikudanganye kuwa ataishia mapajani au ataweka jivu
 
Asikudanganye haishii mapajani tu atataka na zaidi na mwishowe atazamisha kabisa

Wanaume wana ushawishi wa ajabu kabisa, unafahamu wazi kuwa huyu yuko breed, na hawezi fanya chochote lakini bado unamshawishi kuwa utaishia mapajani tu...si kweli hutaweza kuishia hapo

Breed ni kitendo cha kiasili cha mwili wa mwanamke kujisafisha kwenye via vya uzazi, Kwahiyo awapo kwenye kipindi dhiki uchafu mwingi hutoka lakini kuna wanaume aidha kwa kutojua madhara yake ama kwa kupuuzia hupenda kulazimisha kufanya ngono hii ni mbaya na ni hatari kwa afya yako

itabidi awe anatoa na ndogo kubalance equestion chezra genye wewe..
 
Mbona kuna maandiko mengine yanadai kuwa hiyo kitu haina madhara hata kidogo? Wengine wanadai inamsaidia mwanamke kuepukana na kansa ya kizazi; ebu wenye uhakika wa hilo tujuze jamani.
 
Ni harari sana ,kwani inasababisha mwanaume apate keloids kwenye dushelele lake ambapo mwishowe inavelop kansa.Msubiri mama amalize,ukishindwa kabisa pigia kwenye matiti,au mapajani.
 
Asikudanganye haishii mapajani tu atataka na zaidi na mwishowe atazamisha kabisa

Wanaume wana ushawishi wa ajabu kabisa, unafahamu wazi kuwa huyu yuko breed, na hawezi fanya chochote lakini bado unamshawishi kuwa utaishia mapajani tu...si kweli hutaweza kuishia hapo

Breed ni kitendo cha kiasili cha mwili wa mwanamke kujisafisha kwenye via vya uzazi, Kwahiyo awapo kwenye kipindi dhiki uchafu mwingi hutoka lakini kuna wanaume aidha kwa kutojua madhara yake ama kwa kupuuzia hupenda kulazimisha kufanya ngono hii ni mbaya na ni hatari kwa afya yako

Kama mwanamke jifunze kusema Hapana Siku 3-5 si nyingi kuwa atakufa na nye.get zake, asikudanganye kuwa ataishia mapajani au ataweka jivu

There is nothing harmful about having sex during your period, if that's what you are asking. It may actually be beneficial and relieve discomfort and orgasms will slightly stimulate your flow and make your period a little (very little) shorter. If it doesn't bother you, just get a couple of dark towels and enjoy!
 
ina maana inapenya hata kwenye ndomu?
Wengine wakishakula vya wanaume, wanatia tomato sauce kunako kuepuka show! Haibiwi mtu hapa, nikupiga tu!

hivi kweli bado kuna watu wanafanya tendo hilo kwa makubaliano ya kulipana kweli? Kama iliwahi nitokea ya kuulizwa mambo ya pesa ni zamani sana tena mara moja; baada ya hapo sitaki kusikia kitu kama hicho; nisipoeleweka bila hela naachana na mambo hayo.
 
There is nothing harmful about having sex during your period, if that's what you are asking. It may actually be beneficial and relieve discomfort and orgasms will slightly stimulate your flow and make your period a little (very little) shorter. If it doesn't bother you, just get a couple of dark towels and enjoy!

uMESOMEKA VYEMA KIONGOZI.
 
Really???????
 
Asikudanganye haishii mapajani tu atataka na zaidi na mwishowe atazamisha kabisa

Wanaume wana ushawishi wa ajabu kabisa, unafahamu wazi kuwa huyu yuko breed, na hawezi fanya chochote lakini bado unamshawishi kuwa utaishia mapajani tu...si kweli hutaweza kuishia hapo

Breed ni kitendo cha kiasili cha mwili wa mwanamke kujisafisha kwenye via vya uzazi, Kwahiyo awapo kwenye kipindi dhiki uchafu mwingi hutoka lakini kuna wanaume aidha kwa kutojua madhara yake ama kwa kupuuzia hupenda kulazimisha kufanya ngono hii ni mbaya na ni hatari kwa afya yako

Kama mwanamke jifunze kusema Hapana Siku 3-5 si nyingi kuwa atakufa na nye.get zake, asikudanganye kuwa ataishia mapajani au ataweka jivu

Ni nini icho?
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Uchafu gani.....!
Contrary to many cultural and religious taboos, from a medical perspective, menstrual blood is no more "dirty" than other bodily fluids. Provided you practice safe sex, period sex is perfectly healthy and will not have any adverse effects on your penis or her reproductive organs.
 
Ina maana inapenya hata kwenye ndomu?
Wengine wakishakula vya wanaume, wanatia tomato sauce kunako kuepuka show! Haibiwi mtu hapa, nikupiga tu!
ha ha ha ha, umenivunja mbavu zangu we ndugu. yani nimecheka kama mwehhu,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom