Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Sajili za Arteta mlikuwa mnazitukana Sana vipi leo sajili za Ten hag mbona mnajificha kichaka Cha Grazzer family[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kuna wachezaji 12 wengine wa mafungu wanasajiliwa na Arteta msimu huu.