Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi sijui details nyingi sana za mpira ila nahisi Kai ni mchezaj mzur sana sema tunavitu vyetu vchache tunatazama sana goal contribution kuliko chochote
Lakin kwa watu wamekan wanauona umuhim wa kai(those important small details) ndo maana hatujawai kusikia KAI amepigwa bench na kocha yeyote aliyepta chel, tim ya taifa bado anaitwa, 90% ya football pundits wanamkubal, bado wakati wa kumsajil tulipambana na Real pamoja na bayern(ukute hata manyumbu deep down walikua wanamtaka🤣🤣). Hiyo yote inaonyesha Kai yupo vizur
Nawasilisha ILa hapo kwa nyumbu ni joke mnisameh
 
Bukayo Saka

“Before every game, I ask God to help me play well, help my team and try to score a goal or assist a goal and he answers my prayers, so this is why I point to the sky to thank him”
20230909_221714.jpg
 
Zinchenko played Midfield for Ukraine

In Zinchenko Arsenal have another World Class midfielder, if we ever need it
20230909_221416.jpg
 
Tomiyasu anachafua LCB mechi na Germany


Tomiyasu on either his left or right foot, his balls are just unreal.. His cameo against United playing as the inverted leftback moving into DM channels says it all.. A big season coming for him
 
USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

Tuzungumze mpira kidogo tactical terms je Declan Rice ni kiungo wa Aina gani?

kwa Mahojiano yake hivi karibuni amewahi kukiri yeye ni Defensive midfielder (DM) yupo confortable sana kucheza 6

Ila kwa ubora alio nao Declan Rice anaweza kucheza nafasi zaidi moja ( Multiple position ) kwa ufanisi mkubwa mno

Wachezaji kariba hii wanao cheza nafasi zaidi moja uwa ni uti wa mgongo kwenye unyumbulifu wa mfumo kiuchezaji na kimbinu ( Tactical flexibility)

Ukitaja moja kati ya Viungo ambao ni ball carriers wazuri huwezi Kumkosa Rice anatoka na mpira chini adi juu

Kwa misingi hii Rice anaweza kucheza kama DM hapo hapo akacheza kama Box to Box faida yake tuliona game united

Rice kwenye moja ya Basics za Mpira tunahita decision making ( Maamuzi) ya wapi awepo kwa wakati upi wapi afanye block , wapi Acheze tackling inamfanya kuwa moja kati DM bora epl hapo

yote hiyo inamsaidia kusoma mchezo kwa urahisi kuna watu walijenga hofu kama anaweza kucheza lonely pivot

Game United akaonesha ni swala ambalo lipo ndani uwezo wake kiuchezaji ili ushinde eneo la kiungo lazima uwe na kiungo mwenye maamuzi akiwa na mpira ata asipokuwa nao

Rice ana offer ubora mwingi kwenye nafasi tofauti Multiple positions hivyo kupunguza limitations kwenye aina yake uchezaji

hapa Arsenal tulipata Wachezaji watatu ndani mchezaji 1 muda utaongea zaidi

NOTE: Uwepo wa Zinchenko ni sehemu kubwa ya mafanikio kwenye build up asa second phase 3-2-2-3

Amigo adios hermanos
£105m, Money talks, vitu vizuri vinahitaji heka sio maneno.
 
Bukayo Saka:


“I still don't know which position Zinny plays best, but he's good at everything.”
20230909_221416.jpg
 
watu mlitaka tumsajili Anthony wa kuspin

mchezaji kucheza vizuri ama vibaya inaathiriwa na vitu vingi vya ndani ya uwanja.

inaweza kuwa ni mfumo ama wachezaji wenzie wanaomzunguka.

naimani.. antony chini ya arteta kwa sasa jinsi timu inavocheza.. angecheza vizuri even noni madueke pia.
 
Back
Top Bottom