Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,915
- 75,759
Raphinha ni mzuri lakini is he 65M good? Kwa sababu akinunuliwa kwa pesa hiyo na maisha yake yakiwa kama Leeds lazima tutatafutana uchawi.Tusijipe matumaini kwa quality ya Rapinha Arsenal kuikosa imetuuma haya mengine ni maneno ya kujifariji sana
Chelsea anaenda kumchukua Raphinha lakini ndivyo alivyozoea kusajili kwa bahati nasibu angalia Ziyech, Havertz, Lukaku kama recent examples. Katika hao watatu wawili wanaondoka anabaki mmoja ambaye ni flop na alinunuliwa kwa pesa nyingi akitarajiwa anakuja kua mwiba.
Binafsi naona ndicho kinaenda kutokea kwa Raphinha. Ni Ziyech mwingine huyu