Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lukaku ni kwasababu haendani na mfumo wa kocha na hakuwa chaguo la kocha Ziyech katusaidia Sana kwenye mechi Muhimu kuwa na statistics chache ni kwasababu sisi tunatatizo kubwa la ufungaji Ziyech ndio mchezaji wa pili nyuma ya Mount aliyetengeneza nafasi nyingi za ufungaji ( chance created) Moja kwa Moja huwezi kusema ameflop na kumbuka hapo kwenye nafasi yake anagombania number na Mount.Sema nini nduguzangu imewauma Sana kumkosa Raphinha ingawa ngumu kukiri hili
Lukaku haendani na mfumo kivipi?

Ametoka united kwenye back four akaonekana hafai akaenda milan kwenye back 3 akaonekana hatari.

Amekuja kwenu kwenye back 3. Na pamoja wewe kudai haendani na mfumo jamaa anaondoka huku akiwa ndiye top scorer wenu. Hoja ya mfumo inaingia akilini hapo?

Mi naona tuchel siyo mzuri kwa kiasi mlichomfikiria.
 
sijaona sna icho kitu unach kisema kwa antony kusema ukweli ila siwezi jua maan mpira tunautzama tofauti but nachotak kusem ni kuwa wapo wachezaji wengi sana ambao ni wingers wazuri mno timu ya arsenal ingejarbu kuwatzama..

endapo target A ikifeli unatizama target nyingine na sio focus yote kuwa kwa mchezaji mmja ;mfano kuna winga mwingine yuko PSV anaitwa noni madueke.. ni mchezaji mzuri sna n yeye.
Antony hana pace, tunahitaji mchezaji kama Saka anayecheza kwenye isolation role, quick enough to beat his man in 1v1, Cutting inside from the RW, anayeweza kucheza kwenye both wings, left footed right winger.
 
Kwa kuwa kwenye Market established profile kama Raphinha ni chache (i.e Di maria ambaye umri umeenda) inavyoonekana Arsenal watatafuta right footed LW mwenye uwezo wa kucheza RW, kichwa kilikuwa kinanambia kama Raphinha angekuja Arsenal i'm sure angechukua RW spot & Saka kushift LW.
 
.
20220629_164440.jpg
 
Room ya Gnaby alf namuona ni hatari zaid kwenye RW ,Saka anabaki kule kule kwenye LW
 
Lukaku ni kwasababu haendani na mfumo wa kocha na hakuwa chaguo la kocha Ziyech katusaidia Sana kwenye mechi Muhimu kuwa na statistics chache ni kwasababu sisi tunatatizo kubwa la ufungaji Ziyech ndio mchezaji wa pili nyuma ya Mount aliyetengeneza nafasi nyingi za ufungaji ( chance created) Moja kwa Moja huwezi kusema ameflop na kumbuka hapo kwenye nafasi yake anagombania number na Mount.Sema nini nduguzangu imewauma Sana kumkosa Raphinha ingawa ngumu kukiri hili
Wewe unatumia nini kufikiri? Sasa akiwa wapili ndio nini?? Yaani kuwa mjinga wa pili na kuwapiga wajinga wengine 18 ndio unajisifia?? Raphinha is over priced.
 
Uwezekano wa kumsajili Tieleman ni zero. Arsenal ilipanga kusajili CM mmoja na tayari Vieira amesajiliwa and it looks likely what happened to Raphinha could happen to Martinez with Man United set to hijack the move.
 
Uwezekano wa kumsajili Tieleman ni zero. Arsenal ilipanga kusajili CM mmoja na tayari Vieira amesajiliwa and it looks likely that what happened to Raphinha could happen to Martinez with Man United set to hijack the move.
Who cares?
 
Room ya Gnaby alf namuona ni hatari zaid kwenye RW ,Saka anabaki kule kule kwenye LW
Sure, ila mshahara wake sasa!, kitu kingine anaweza kuwa star kuliko kocha so akatengeneza toxic environment in dressing room when things are getting worse.
 
Wewe unatumia nini kufikiri? Sasa akiwa wapili ndio nini?? Yaani kuwa mjinga wa pili na kuwapiga wajinga wengine 18 ndio unajisifia?? Raphinha is over priced.
Mount na ziyech wapo kwenye top 10 ya midfielders waliotengeneza nafasi nyingi kwenye ligi kuu
 
Back
Top Bottom