Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hiyo Arteta & Edu wangekuwa Watford Jesus angeenda huko sio?

Hii Arsenal ni yamoto, mchezaji hafikirii mara mbili, anajua kuna mafundi kibao, pale Saliba, kule Tomiyasu, pale Saka, Odegaard, Nketiah
Inshort we are running the transfer market.
Unafikili hapo arsenal angekuwepo kocha falafala tofauti na arteta Jesus angekanyaga mbona unakaza fuvu ..!
 
Leeds wanamuuza huyu mshikaji na kiukweli kitu ambacho Arsenal wanafanya ni kuhijack Hili deal kama ambavyo Chelsea,Spurs,Milan wanasubiri kufanya lakini Leeds aliwaruhusu Barcelona toka Mwezi wa Pili waongee na Raphinha na walikuwa na makubaliano tayari ya deal Hili ikiwa Leeds itashuka watalipa kiasi fulani ambacho was around 25-30 kama Leeds haiyoshuka watatakiwa kulipa 60+ odds on na mbaya zaidi Deco alishafanya kila kitu na Barcelona na wakaset agreement on personal terms with Raphinha na wakakubaliana kila kitu.

Situation Ilikuwa hivyo na bado Iko hivyo.

Kinachotokea ndani ya hizi week nne kasoro ni Arsenal nao kurequest transfer proposal kwa Leeds kuhusu Huyu mtu na Leeds walikubali kutoa go ahead wakiwa wanalenga kupata good offer wenda kuliko Ile ya Barcelona.

Arsenal wako serious hapa na Kuna offer ilishawekwa pale kwa Taarifa nlizonazo kilichofuata ni kumalizana na mchezaji na wakala ambao kimsingi walikuwa na makubaliano na watu wengine tofauti kabisa na Arsenal.

Leeds wanasubiri kuona Barca wataweza kulipa hii hela kama ambayo Arsenal wameweka ,kama wakishindwa basi wanamwachia anaenda Arsenal na sio Barcelona.

Kimsingi mpaka sasa katika timu zote nlizotaja hapo juu,ni Arsenal pekee ndo wameweka hela wengine watatu wanasoma upepo.
 
Attachments

  • VID-20220627-WA0000.mp4
    14.1 MB
Kilichoniogopesha Jana ni kuwa Dembele na Sissoko walikuwa na kikao na Barcelona kimsingi hakijaisha vizuri wanategemea kwendelea Leo kuona namna gani wafanye abaki.

Kama anaondoka ujue hii itakuwa proper fee agent Barcelona bado watakuwa hawana Ile 60+ ya kutoa kwa Raphinha,Soler na Lewandoski.

Ndo maana wanapush kuipata 80 kwa united kuhusu De jong ambayo kimsingi 65 inabidi ilipwe as Cash 😂 wapate hela ya kufund deals zao tatu hizo apo... hii ya Soler tyr zinabaki mbili (Raphinha na Lewandoski)

1:So huu mzunguko adi utumie ndo unamleta Raphinha Arsenal.
2: Raphinha kuja Arsenal ni Deco.
3: Raphinha kuja Arsenal ni Arsenal maana Leeds washajitoa wamesubiri Simu tu.

NB: Arsenal Wana meeting na Deco if not today ni kesho na apo tutakuwa na Taarifa nzuri sana au mbaya sana.

Good morning hapa nimewapatia Taarifa kamili ya huu mchongo ulivyo hadi dakika hii.
 
🚨 || Arsenal are still waiting to hear back from Ajax, regarding their latest offer for Lisandro Martínez. The offer was £34m (£38m with bonuses) and the Dutch club are considering it [Via - @Charles_Watts].
 
🚨 || It is still possible that Arsenal return to Leicester for Youri Tielemans toward the end of their business [Via - @Charles_Watts].
 
Ajax wanatafakari kwa dhati ofa ya pili ya Arsenal kwa ajili ya Lisandro Martinez. Ofa hiyo ilikuwa pauni milioni 34, kulikuwa na hisia kuwa huenda ilikataliwa lakini Ajax wanaifikiria. Martinez anataka kujiunga na Premier League #afc
IMG_20220627_205031.jpg
 
🚨 First pictures of Gabriel Jesus arriving at London Colney today for his medical. He was greeted by Edu. (@SunArsenal)
 
Attachments

  • IMG_20220628_124321.jpg
    IMG_20220628_124321.jpg
    46.7 KB · Views: 17
  • IMG_20220628_124314.jpg
    IMG_20220628_124314.jpg
    91 KB · Views: 23
Anachokifanya Man u kwa barca ndicho Arsenal tunakifanya kwa Tieleman

Kuna Mambo ya kifedha inatakiwa kufikia alhamis Barcelona awe ameyaweka sawa ,

Karibu mwez mzima Barca alikuwa anakaza akitaka €85m kwa FDJ, lkn Man u walijua Barca anaihitaji hiyo hela imsaidie , na aondoshe mshahara wa FDJ, so Man u wakakaza mwisho £65m ,wakijua Barca atalegea tu si ana shida .

Now Zimebaki Siku 2 Barca inaonesha ameshalegea ,Awali Barca alijua Man u akitajiwa €85m(£80m) angetoa , lkn Inaonesha Man u wamebadili hata utaratibu wao wa Kunegotiate.

NIJE SWALA LA ARSENAL NA TIELEMAN

Leicester inasemekana wanataka £40-45m kwa mchezaji ambaye amebakiza mwaka mmoja,

Arsenal wameshamalizana nae personal term , na wanapambania Priority Nyingine , Wanajua mwisho wa dirisha , Leicester ataogopa kuja kumpoteza Tieleman bure ,na hapo Tieleman alishagoma kuongeza mkataba,

Hivo kwa presha ya kumpoteza Bure ,itawapasa Leicester amuuze kwa Bei ambayo Arsenal amemthaminisha £20-25m

Hii ilitokea kwenye usajiri wa Aaron Ramsadale , Sheffield walitaka £40m , Arsenal akasubiri haddi dakika za mwisho , mchezaji akaandika Barua ya kuondoka, ikawabid Sheffield washushe Bei had £30m
 
Mbona mnapenda kujitekenya wenyewe, hao wachezaji timu gani ilikua inawataka? Kwa Auba sawa, alikua anamapenz tu na Arsenal, hao wengine hata Man u tu pale na ubovu wake hawapati namba.
Tena huyo Pepe achilia mbali man u hata Mbeya kwanza hapati namba.
Nyie nanyi mna timu mpa wachezaji mnaowataka kuasajili kutoka championship hawaitaki timu yenu.

We endelea kupiga goti Maguire awe fiti.
 
Leeds wanamuuza huyu mshikaji na kiukweli kitu ambacho Arsenal wanafanya ni kuhijack Hili deal kama ambavyo Chelsea,Spurs,Milan wanasubiri kufanya lakini Leeds aliwaruhusu Barcelona toka Mwezi wa Pili waongee na Raphinha na walikuwa na makubaliano tayari ya deal Hili ikiwa Leeds itashuka watalipa kiasi fulani ambacho was around 25-30 kama Leeds haiyoshuka watatakiwa kulipa 60+ odds on na mbaya zaidi Deco alishafanya kila kitu na Barcelona na wakaset agreement on personal terms with Raphinha na wakakubaliana kila kitu.

Situation Ilikuwa hivyo na bado Iko hivyo.

Kinachotokea ndani ya hizi week nne kasoro ni Arsenal nao kurequest transfer proposal kwa Leeds kuhusu Huyu mtu na Leeds walikubali kutoa go ahead wakiwa wanalenga kupata good offer wenda kuliko Ile ya Barcelona.

Arsenal wako serious hapa na Kuna offer ilishawekwa pale kwa Taarifa nlizonazo kilichofuata ni kumalizana na mchezaji na wakala ambao kimsingi walikuwa na makubaliano na watu wengine tofauti kabisa na Arsenal.

Leeds wanasubiri kuona Barca wataweza kulipa hii hela kama ambayo Arsenal wameweka ,kama wakishindwa basi wanamwachia anaenda Arsenal na sio Barcelona.

Kimsingi mpaka sasa katika timu zote nlizotaja hapo juu,ni Arsenal pekee ndo wameweka hela wengine watatu wanasoma upepo.
Bro acha kelele Raphinha anaenda Chelsea
 
chelsea anaenda kumalizana na raphinha.. ;ni mchezaji mzuri kweli ila sioni umuhimu wake san kwenye kikosi cha arsenal.. kuna mchezaji yuko ajax ;ni mbrazili n yeye anaitwa antony.. uyu kwngu ndio mchezaji wa muhimu sn kama arsenal inatka kusajili winga.
 
Antony mambo mengi, contribution ndogo sana kwake
 
Back
Top Bottom