Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

NILIWAHI KUSEMA WIKI ILIYOPITA KWASASA DUNIANI KUNA UHABA MKUBWA WA CF ,

IWAPO CR7 ANAONDOKA MAN U NA KWENDA NJE YA EPL , NI WAZI MAN U NA CHELSEA ZINABAKI BILA CF WA MAANA ,ITAWALAZIMU KUTUMIA FALSE 9 .

Kitu ambacho Ni Risk kwa epl, Ni pep na Klopp ndio walithubutu kufanya hivo ,Lakin nao wamerudi sokon wamenunua typically CF ,Halland na Nunez.

Arsenal katika Scout yao walikuwa na majina ya Gabriel Jesus akiwa top kabisa kwenye list, kulikuwa na Gianluca Scamaca , Victor Osmhen ,

Kwa uhaba wa CF uliopo barani Ulaya iliwalazimu Liverpool waweke mezan karibu €80m kwa Nunez ambaye ana msimu mmoja mzuri ,

Ukienda pale Napoli , ukamuulizia Victor Osmhen a CF wakawaida tu basi Rais wa Napoli Ndugu Aurelio De Laurentiis anakwambia weka mezani €100m .

Ukienda pale Sasuolo ukamuulizia bwana mdogo Gianluca Scamaca ambaye bado haja prove chochote Cha maana utaambiwa weka mezani €50m.

Hii inaonesha kwasasa Kuna uhaba wa CF duniani, hii imepelekea Arsenal wasisite kutoa €50m(£45m) kwa Gabriel JESUS, kwanza ana uzoefu na epl ,pili Ni winner akiwa na mataji manne ya epl .

Mwisho had Jumapili iliyopita bado Kuna klabu zinahaha kusaka CF , zilimfata Gabriel Jesus aachane na Arsenal kabla hajatangazwa.

Fabrizio Romano anasema

Three clubs tried to hijack Gabriel Jesus deal until Sunday, June 26… but he always wanted Arsenal as priority. Now it’s finally official and confirmed. #AFC

Signed last week, delivered today. £45m to Man City. Contract until June 2027.


Huu Ni usajiri muhimu Sana kwa Arsenal
Uliona mbali
 
Moderator nawezaje kuacha kuona replies ambazo anapata mtu niliyemblock? Maana kitendo cha kufungua reply lazima uanze kuona ule utumbo usiotaka kuuona. Ntafurahi kama mkiliboresha hili, yaani ukimlima mtu block ata kile kinachojibiwa kwenye utumbo wake basi usikione. Replies za utumbo ziwe zinaonyesha "show spoiler" Please over Please work on this.
Mbona ipo ivyo kitambo tu?
 


Alizungukwa na KDB, Foden, Gundogan, Silva, Sterling hakufunga mpaka achoke.

Huko anaenda kucheza na Odergaard, Saka, Nketiah, Pepe, Rowe na hiyo skeleton mlotoka kuisajili. Ngoja tuone atakapofunga mpaka achoke
Mlikuwa na dharau Sasa hivi majukwaa yenu yakiguswa kidogo mnatokwa mapovu
 
Wakati mwingine waga mnapenda kujitoa ufahamu hadi ufahamu wenyewe unashangaa...!

Kwahiyo wewe na Akili zako timamu unadhani Jesus hawezi Kufunga goli 5 pale EPL? au kwakuwa nawewe tu ume comment roho yako iridhike
Huyo Hana akili
 
Kwa kua kocha anapenda wachezaji versatile binafsi sioni shida.

Nilimcheki sana Lisandro tulivyohusishwa naye, anajua kukaba ila ni reckless Zinchenko naona ni mchezaji ambaye kwa City anaweza asishine ila akashine Arsenal.

Kwa 30M nafikiri ni bargain. Tumesababisha Lisandro apande bei kisha tumewaacha United wadeal na over price.
Uliona mbali Sana
 
Kwanini tumefaidika kwenye usajili wa Zinchenko tofauti na kama tungemsajili Lisandro Martinez:

1. £35 mil only (Lisandro= £55mil overpaid by nyumbu- wamepigwa)

2. Mshahara kiduchu (Lisandro- mshahara mwingi)

3. Multiple positions. LCB, CM, LM & LWB (Lisandro- CB (🛇mfupi) & LB).

4. Ka prove kwenye EPL (Lisandro- Farmers league )

5. Starter kwa Arsenal (Lisandro- Backup kwa Arsenal, Starter kwa Nyumbu).
Uliona mbali ndugu
 
Zinchenko scores against England!

Always believe in your soul!
20230909_200109.jpg
 
JUST IN from @FabrizioRomano:

Negations will continue between Arsenal and Martin Ødegaard for a new, long-term contract in the coming weeks, months.
 
Zinchenko ameshawapiga England kamba

Anacheza kama No.8/10

Huku Arsenal Ni LB

Ukisia Wachezaji versatility na vipaji ndio Hawa sasa
20230909_200714.jpg
 
Huyo dogo hapo na mpira ana miaka 14, na tayari alikuwa anafanya mazoezi na timu ya wakubwa..

Ni shabiki gani wa Arsenal hajawahi kumlilia Jack Wilshere?

Ipo makala ina kichwa cha

Started early, ended early

mwandishi aliandika kwa uchungu mno kuhusu hichi kipaji..

Leo Arsenal tuna kipaji kingine Ethan Nanweri anatajwa Kama mrithi wa Wilshere ,ametimiza miaka 16 juzi tu Lakini ameshacheza mechi moja ya EPL amekuwa akifanya mazoezi na senior team .
JamiiForums-930796887.jpg
 
Kaka Acha porojo na kudanganya members wenye akili humu JF wengine tuna akili na hatuwezi kusema mambo mengi KAI NI MZIGO fanya research ndogo au nikuulize kwa IQ yako timamu why ARTETA anatumia muda kwenye press kumtetea KAI kuliko player yoyote yule?kama una akili jibu utapata kama una akili maana Arsenal ina players wengi why KAI?TAFAKARI

Brother unachekesha sana Odegaard or Partey hawa hakuwahi kucheza EPL na true mchezaji anavyobadili mazingira YES kukutana na mambo mapya sometimes inawezekana akawa flop kwa muda akizoea anakuwa wa moto like Fabio kwa sasa ,mimi namuongelea KAI mwenye season 3 or 4 hapo EPL nipe maajabu yake (statistics)zake kisha tuendelee na mjadala mambo ya formation hayatusaidii sisi fans tunachotaka mchezaji awajibike uwanjani that's it mambo ya 4-3-3 or 3-4-3 hatuna haja nayo au niandike kwa capital letter narudia ODEGAARD OR PARTEY OR FABIO hawakuwahi kucheza EPL but kwa KAI ana season 3 or 4 EPL na ni MZIGO

Sababu ya EGO ya Arteta hatakubali kirahisi kuona kashindwa kwa KAI but naapa ingekuwa kuna kura za wazi zinapigwa kama KAI next game aanze first 11 au akae benchi ungejionea AIBU YAKO
Binafsi sikuping kuhusiana na Kai kwa sasa(ni mzigo kwelkwel) lakin naamin kuna kitu cha tofaut anaweza kufanya.
Bado anachance ya kuimprove na naamin Arteta anauwezo kumuongoza vyema kufika ambapo wote tunapataka refer kwa odegaard,partey,saka,viera,martinel and so on. So far amecheza na bado hatujafungwa gem hata moja kwaiyo ni mapema sana kumpa mzigo wa lawama kijana wetu
Tumvumilie kidogo tu
 
Back
Top Bottom