Kuna watu maji wataita mmaView attachment 2265246
Kuna watu maji wataita mmaView attachment 2265246
Yes hata mimi nimeliona hili. RW huwa anacheza vizuri sana.Saka ni best kwenye RW ila uko kwenye LW contribution yake ni ndogo sana
Vieira tia tiki tyar ashatua kazi imebak kwa hao wengneTAARIFA KUTOKA UINGEREZA ,INASEMEKANA ARSENAL WAMETENGA £200m+
£50 Raphinha
£50 Gabriel Jesus
£35 Fábio Vieira
£30 Lisandro Martinez
£30 Youri Tielemans
£20 Aaron Hickey
= £215m Arsenal transfer spree 🤔 Interesting
ukiipata na mimi fanya kunitupia 0719554607Kwa sajili hizi arsenal wanakwenda kuimarika..
Mwenye link ya kundi whatsApp la arsenal family naiomba hiyo link nijiunge kundini.
kabsa aseee ata mim kwa upande wanguUsajili wa Tielemans ndo utakua usajili bora sana kwangu
Kuna watu maji wataita mmaView attachment 2265246


kwa arsenal nayoijua mimi hata nafasi ya pili hamtamaliza.Kwa sajili hizi arsenal wanakwenda kuimarika..
Mwenye link ya kundi whatsApp la arsenal family naiomba hiyo link nijiunge kundini.
Kwa jinsi mambo ninavyoona tutasajili wachezaji watano dirisha hili Marquinhois, Jesus, Vieira, Lisandro Martinez, Winger.
Kwa jinsi mambo ninavyoona tutasajili wachezaji watano dirisha hili Marquinhois, Jesus, Vieira, Lisandro Martinez, Winger.
Pepe inabidi auzwe, natural wide players wanabaki wawili Saka & Martinelli. Balance is keyKama pepe hatauzwa basi hakuna sababu ya kusajili winga wakati tuna option nyingi kwenye nafasi ya winga zote mbili, Saka,Pepe & Smith,Martinel hata Jesus pia anaweza tumika uko,
Pepe akibaki basi tunaitaji mchezaj tofauti wa eneo ilo hapo ndo naona nafasi ya Tielemans ipo wazi
Kama Man city watamsajili kalvin Phillips & cucurela, the probability of winning the league next season is so high.
Pepe inabidi auzwe, natural wide players wanabaki wawili Saka & Martinelli. Balance is key
True. Hata ukicheki games Arsenal amepoteza in the run out of top 4, dogo alipigwa goals nyepesi mno
Project imeiva hii, hakuna wa kuizuia, tukiimarika dirisha lijalo 2023/24 tupo kwenye mbio za ubingwa.