toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,422
- 2,798
Castr alishauri kuhusu wenger kujumuishwa kwenye bodi ya timu.wenger akimpigia simu mchezaji uzito wake ni tofauti na arteta au Eduhakuna straika bora wa daraja la kwanza ambaye atataka kuja arsenal.sio kwamba timu yetu ni mbaya ila hatuna ushawishi kwenye nyanja baadhi