Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Kwa hiyo Bissouma sio pancha?Wote hao not reliable, mmoja pancha mwingine tia maji x2
Kwa hiyo Bissouma sio pancha?Wote hao not reliable, mmoja pancha mwingine tia maji x2
Vieira ni AM hivyo atacheza upande wowote akimsaidia Odegaard atakaecheza nyuma yake.Anacheza right hand side, maybe atatumika RCM anarotate na Ø, inaonesha nafasi ya Tielemans LCM ipo, Kama sivyo basi mmoja kati yao wawili atashift left.
Tulia wewe you know nothing about football eti tuseme target wapinzani wawachukue hivi kwa akili yako timamu which big teams atahangaika na Tielemans?Jesus?hao ni level yetu sisi ungesema nani tumewahi mtaka rivals wakambeba?ndani ya hii miaka 3 and imagine Lewandoski anataka kuondoka ila haifikirii Arsenal kamwe Arsenal ni team ya rumours basi all in all up to now mambo hayaeleweki hata hao ambao nimewamention hakuna offer iliyopelekwa according to reliable sources za soccer Arsenal hata kuuza mchezaji kwa pound Milioni 30 haijawahi tokea ndani ya hii miaka 3 then unasema mambo ya rivals may be Manchester United ndo unamaanisha ataibia wachezaji Arsenal na si magiants wa footballNdio style ya Arsenal hii ya usajili. Mara zote rivals wamekuwa wakisubiri Sisi tuseme targets zetu halafu wazichkue. Tumesema tu kuhusu Bissouma basi kila mtu anamtaka.
Nakushangaa inawezekana una kisirani anybody here yupo huru kuongea atakacho kwani Arsenal ni Mama yako mzazi?hutaki watu waongee ?haaaa this is ridiculousTunawaangalia tu hawa. Tukisema tunaambiwa tunapenda matusi
Vieira ni AM hivyo atacheza upande wowote akimsaidia Odegaard atakaecheza nyuma yake.
Atakuwa akicheza kama Bernado Silva au Gundogan wa City ambao hutengeneza vyumba kwa mshambuliaji na pia kufunga magoli.
Hiyo yamaanisha kwamba Emile Smith Rowe atakuwa akitokea bench.
Vieira atasaini mkataba wa miaka 5 na Arsenal wametengua mkataba wake na Porto ambapo kulikuwa na kifungu kinachotaka Euro milioni 50.
Hii ni shock move kwa sababu hakuna aliefahamu na Arsenal safari hii wamejifunza kucheza na transfer market.
Bissouma ni kiungo mzuri lakini ni mlinzi zaidi kuliko kutafuta vyumba ambapo Arsenal walikosa kiungo wa namna hiyo.
Nowadays, 4-3-3 set-up wanatumia two #8s, tuongee kuhusu RCM & LCM sio AM, so Fabio Vieira kwa namna anavyocheza FC porto anatumika kwenye right hand side, huyu ni RCM.Vieira ni AM hivyo atacheza upande wowote akimsaidia Odegaard atakaecheza nyuma yake.
Atakuwa akicheza kama Bernado Silva au Gundogan wa City ambao hutengeneza vyumba kwa mshambuliaji na pia kufunga magoli.
Hiyo yamaanisha kwamba Emile Smith Rowe atakuwa akitokea bench.
Vieira atasaini mkataba wa miaka 5 na Arsenal wametengua mkataba wake na Porto ambapo kulikuwa na kifungu kinachotaka Euro milioni 50.
Hii ni shock move kwa sababu hakuna aliefahamu na Arsenal safari hii wamejifunza kucheza na transfer market.
Bissouma ni kiungo mzuri lakini ni mlinzi zaidi kuliko kutafuta vyumba ambapo Arsenal walikosa kiungo wa namna hiyo.
Benardo Silva plays multiple positions, upo sahihi Pep anamtumia sana kama #8.Benardo si anacheza kama namba 8s au ni 10s
Achana na mimi wewe!Nakushangaa inawezekana una kisirani anybody here yupo huru kuongea atakacho kwani Arsenal ni Mama yako mzazi?hutaki watu waongee ?haaaa this is ridiculous
I repeat, achana na mimi kabisa!Tulia wewe you know nothing about football eti tuseme target wapinzani wawachukue hivi kwa akili yako timamu which big teams atahangaika na Tielemans?Jesus?hao ni level yetu sisi ungesema nani tumewahi mtaka rivals wakambeba?ndani ya hii miaka 3 and imagine Lewandoski anataka kuondoka ila haifikirii Arsenal kamwe Arsenal ni team ya rumours basi all in all up to now mambo hayaeleweki hata hao ambao nimewamention hakuna offer iliyopelekwa according to reliable sources za soccer Arsenal hata kuuza mchezaji kwa pound Milioni 30 haijawahi tokea ndani ya hii miaka 3 then unasema mambo ya rivals may be Manchester United ndo unamaanisha ataibia wachezaji Arsenal na si magiants wa football
Daaaahhh we jamaa unaongeaga ukweli mchungu mpaka mashabiki viazi wanakereka.Tulia wewe you know nothing about football eti tuseme target wapinzani wawachukue hivi kwa akili yako timamu which big teams atahangaika na Tielemans?Jesus?hao ni level yetu sisi ungesema nani tumewahi mtaka rivals wakambeba?ndani ya hii miaka 3 and imagine Lewandoski anataka kuondoka ila haifikirii Arsenal kamwe Arsenal ni team ya rumours basi all in all up to now mambo hayaeleweki hata hao ambao nimewamention hakuna offer iliyopelekwa according to reliable sources za soccer Arsenal hata kuuza mchezaji kwa pound Milioni 30 haijawahi tokea ndani ya hii miaka 3 then unasema mambo ya rivals may be Manchester United ndo unamaanisha ataibia wachezaji Arsenal na si magiants wa football
Pogba kasema anaenda Juve ili kuwathibitishia United kwamba walikosea kuchelewa kumpa mkataba.
Inter wameiambia Chelsea wako tayari kutoa € 5M kwaajili ya kumrudisha lukaku





Nyumbu mnateseka sana, na mtasekaDaaaahhh we jamaa unaongeaga ukweli mchungu mpaka mashabiki viazi wanakereka.
Mashabiki wenzio wa Arsenal hua hawapendi kusikia ukweli unaouma, ili uendane nao inatakiwa muda wote uwe unasifia timu pamoja na maamuzi yote ya timu kwa ujumla wake.
Akisajiliwa Makwinyoz unatakiwa umsifie kua ni bonge la mchezaji ambae ndie atakua mrithi halali wa Lionel Messi, amesajiliwa huyo muhuni wa ureno Fabio Vieira unatakiwa umsifie kua yeye ni zaidi ya Bernardo Silva na msimu ujao lazima achukue mchezaji bora wa Epl.
Hapa kuna Martinel, hapo yupo Saka, huku kuna Fabio Vieira, pembeni kuna Makwinyoz pale kuna Lukonga Arsenal msimu huu lazima tuchukue Epl na Europa.
Hii ndio mambo mashabiki wanapenda kusikia.
View attachment 2263630
arsenal wame extend mwaka 1 kwa Mohamed elnenny pia, so ni Partey, elnenny na LokongaYaah! Nafasi yake ilikuwa kurotate na Partey ila bahati mbaya kwake ni kwamba tunaye Lokonga. Spurs ataingia direct kwenye 1st X1.
Klabu za Italia ni shida.5M seriously![]()