Mbona unakimbilia nimedanganya ,kwann usitetee hoja zako bila kuwahusisha wengine, Kuna mtu au watu nimewashika mashati humu na kuwadanganya?
Sijawahi kuona kwanza hiyo press ambayo Mikel anatumia muda mwingi anamtetea Kai
Labda hujui Press za Arsenal huwa zinaendeshwaje ,
Waandishi ndio huuliza maswali mbalimbali na Kocha huyajibu ,kocha huja kuelezea mechi ijayo na taarifa za majeruhi Basi,
Unataka Kai acheze unavyotaka wewe sababu eti ametoka EPL ,Nan kakudanganya mchezaji akitoka EPL bas anaweza kuwika hapo hapo EPL, Mbona mifano ipo mingi ya wachezaji wanatoka EPL na wanafeli Ligi za wakulima na wapo wanatoka Ligi za wakulima na Wana click EPL faster tu,
Kai anacheza LCM ,majukumu ya LCM mpaka Sasa anayatekeleza vzr kabisa ,labda uje uniambie hapa technically Ni vitu gani hatekelezi ,sio kuleta porojo tu Kai Ni mzigo, how? Ulisema mvivu nitakupa takwimu ndiye mchezaji aliyekimbia kuliko wote hapo Arsenal ,
- Running

- Duel winning

- Reliable passer (89% accuracy)

- Goals and assists

No research no right to speak