Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Eddie Nketiah kasaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga gunners mpaka mwaka 2027.

Moja ya kipengele kwenye mkataba wake ni kuwa apewe jezi namba 14.

Je anastahili hiyo jezi ?
Nyau kweli huyo, apewe martinel
 
Mambo gunners. Bado sielewi viongozi wetu wanaona nini kwa nketiah ila labda atatushangaza wengi kwa mazuri

Nketia ni mzuri sema ni aina ya wachezaji wanaoitaji game time ya kutosha,rejea game zote za mwisho baada ya lacca kusugulishwa benchi alichokifanya ndicho anacho miguuni mwake, Takwimi pia zinambeba sana
 
Fábio Vieira signs
Eddie Nketiah re-signs
Bid submitted for Gabriel Jesus
Working on Youri Tielemans deal

Arsenal off to a hot start this transfer window

Deal ambalo sina uakika nalo kama litakamilika ni la Tielemans kwa habari niliyoiona ya kua inategemeana na situation ya Xhaka kama atabaki au ataondoka Arsenal
 
Deal ambalo sina uakika nalo kama litakamilika ni la Tielemans kwa habari niliyoiona ya kua inategemeana na situation ya Xhaka kama atabaki au ataondoka Arsenal
Xhaka bado yupo Mzee......Lengo ni squad depth

Mildifield
•Granit Xhaka
•Yakubu Partey
•Martin Ordegard
•Fabio Vieira
•Youri Tielemans
•Lucas Torreira-Huyu ndio atatafutiwa Loan team nyingine ili akamalizie mkataba wake,tumeamua kumtoa pale fiorentina kwasababu ya jeuri yao ya kutunyima Vlahovic
•Mo Elneny

Xhaka na Torreira kama sijakosea wamebakiza Mwaka 1 kwenye mikataba yao na watakuwepo msimu huu kwa lengo la kuwaachia mikoba taratibu new signings

Yakubu Partey ni prone Injury........nadhani utakuwa umeshaelewa kwanini tunahitaji sign ya Tielemans.......ili tusije tukapata matatizo kama ya late season

SQUAD DEPTH MZEE
 
Kama Man city watamsajili kalvin Phillips & cucurela, the probability of winning the league next season is so high.
 
- Mikel Arteta wants TWO good options for EACH position

- Fabio Vieira contract about £46k/week. Arrival has NO impact on Tielemans

- #AFC confident on Jesus, to improve offer + interested in Zinchenko & Raphinha

- Italian clubs interested in Xhaka, could leave

[@garyjacob]
 
Pre-season inaanza ndan ya siku nane zijazo. Hivyo tarajieni wiki inayoanzia jumatatu kupata habar nyingi zaidi.


Every staffs walikuwa mapumziko ndio maana unaona hata mpiga picha hajapika picha za marquinhos. Wiki ya kesho staffs wengi wanarudi ikiwa pamoja na arteta. Sasa ndio mambo yataanza kuiva
 
Arsenal bado wanaongoza kwa kumsajili Gabriel Jesus na wana imani kamili katika kukamilisha dili katika siku zijazo. Mchezaji, wakala wake na familia wako Manchester kukamilisha mazungumzo, ambayo sasa yamepangwa kuharakisha.

[@ARSENAL442com] #afc
 
🚨 || A deal has been completed for AM, Fàbìo Vieira already and Arsenal are increasingly confident of adding Jesus, as well as Raphinha, Lisandro Martínez and Tielemans. [Via - @StandardSport].
 
Back
Top Bottom