Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,874
Arsenal mimi
Kivipi?msimu ujao kati ya matinell au saka mmoja tutampoeza
Bissouma for £25m ilikuwa rotation nzuri sana kwa Partey, unfortunately haikuwa priority.

Pep ali beep kumtaka Saka kama replacement wa MarhezKivipi?

Bissouma for £25m ilikuwa rotation nzuri sana kwa Partey, unfortunately haikuwa priority.
I love Brazilians, ila Pepe hana future Arsenal na lazima wakala wake atamtafutia timu this window, Replacement ya pepe ni Raphinha in the short run. Raphinha kurotate na Saka, at times anacheza left hand side.
Yaah! Nafasi yake ilikuwa kurotate na Partey ila bahati mbaya kwake ni kwamba tunaye Lokonga. Spurs ataingia direct kwenye 1st X1.
Kashasepa zake Spurs
Saka hawezi kuondoka London,kwenye timu ya ndoto yake, then afate rotation minutes kwa Pep Guardiola.Pep ali beep kumtaka Saka kama replacement wa Marhez![]()
Nadhani Kumpata Raphinha maana yake Pepe kaondoka kaacha nafasi, Raphinha sio priority. Watu muhimu this window Tielemans + Jesus wanatupa strong best X1.Raphina Soon wanabeba tena wengine sijaona kama Edu na Arteta wako serious saana kwenye dirisha hili la usajili mpaka kufika sasa
mkuu full back zote mbili ni muhimu kwetu tena saanaNadhani Kumpata Raphinha maana yake Pepe kaondoka kaacha nafasi, Raphinha sio priority. Watu muhimu this window Tielemans + Jesus wanatupa strong best X1.
naamini pia role na gametime kwa elneny msimu ujao itaongezeka.academy graduate kama kina charlie partino na wengine huenda wakawa promoted kuchukua nafasiNadhani Kumpata Raphinha maana yake Pepe kaondoka kaacha nafasi, Raphinha sio priority. Watu muhimu this window Tielemans + Jesus wanatupa strong best X1.
Aache kwenda kupata makombe abaki anazeekea Arse88 kutafuta big4, wachezaji wa umri wake walioko city wote wana makombe.Saka hawezi kuondoka London,kwenye timu ya ndoto yake, then afate rotation minutes kwa Pep Guardiola.
Hmm sasa kipa alaumiwe kwa lipi pale ebu tueleze gori gani pale kipa anastahili kulaumiwa mkuu,,Bodi ya Arsenal ikae chini ifikirie upyaa maamuzi yao, kumuamini Ramsdale na kumtoa Leno kutaleta majanga msimu ujao.. Nimetoka kuangalia game ya England vs Hungary, hayo magoli anayofungwa Ramsdale ni AIBU!!
Fullbacks yupo Tierney & Tomiyasu, huwezi kuwaza kusajili backup players ikiwa in best X1 hujakamilisha kupata quality players.mkuu full back zote mbili ni muhimu kwetu tena saana
Ningependa usajili wa msimu huu hizii position mbili leftback na rightback zifanywe kwa usahihiFullbacks yupo Tierney & Tomiyasu, huwezi kuwaza kusajili backup players ikiwa in best X1 hujakamilisha kupata quality players.
Usiogopee.. Kuna sub tano.Ningependa usajili wa msimu huu hizii position mbili leftback na rightback zifanywe kwa usahihi
Arsenal ipo kwenye mashindano mengi sana so inahitaji two players in every position,,
Moja ya njia ya ku escape injuries kwa wachezaji hasa zile za mar kwa mara

hivi tofauti ya chelsea na arsenal ni nini?Nyie matakataka munastahili wachezaji wakacheze Europa?