Unajua tokea uje na kauli mbiu ya nyumbu ni wajinga, timu yako haijapata matokeo ya ushindiKuna nyumbu hua anabet tushinde huyu ndiyo adui yetu
Deluded. 😂Nimeipenda ile spirit tulioonesha from start, hasa second half
Tukienda kwa city tupande na spirit hii hii
Ni mjinga pekee atakaeamini city atashinda game zote zilizobaki
Genius arteta Leo ametuangusha kwa huyu mtoto wake veira, was good for nothing
Arteta atulize akili jinsi ya kuimaliza ligi
Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Fixtures za Arsenyani hizi hapa. Wagonga Nyundo na Watakatifu washafanya kazi yao. Kituo kinachofuata ni Emirates kwa Wananchi.Wagonga Nyundo.
Watakatifu.
Wananchi.
Wabluu.
Ndege Kinubi.
Ndege Shakwe.
Msitu wa Nottingham.
Mbwa Mwitu.
Hizo ndiyo mechi 8 za Arsenyani zinazofuata.
Kwakweli kabisa, ila Cheshii mwaka huu lisiposhuka daraja la EPL basi kweli miujiza ipo duniani, nimekaa paleUzuri wa mashabiki wa Man utd hua hatunaga nongwa na Chelsea, hata anguko lenu hua linatusononesha mpaka sisi.
Sisi maadui zetu wa kudumu ni Arsenyani na Liverpunda.


Mirembe Hospital wanamruhusu vipi hamisi77 atoroke Mirembe nakati wanafahamu vizuri athari zake?"Naipenda Arsenal nawaangalia sana kutokana na aina yao ya uchezaji, pia wana kikosi cha vijana wengi hatari na tishio, fikira zao kwa sasa kama timu wanaonesha kuhitaji mataji makubwa nitafurahi wakinisajili"
Caicedo


Ongeza sauti ili hamisi77, Malcolm XII, Will Jr na wengine wakusikie vizuri kabisaPoints 3 zipo hapa
Saka, martinel, Trossad, Jesus, odegard
![]()

Hizi picha mnazitoaga wapi lakini?

Tuna imani na Arteta, apewe mkataba wa miaka buku "millennium" kabisaarsenal kama huu msimu tumeliacha ili kombe itatuchukua mda sana kulipata

"Mtoto halali na pesa" ajengewe sanamu kiukweli kwa kutuheshimisha ArsepimbiHawa watoto wapuuzi sana. Ni kama hawajielewi, utoto mwingi sana.

Hapana hafai kwa anakotupitisha ni maumivu makaliTuna imani na Arteta, apewe mkataba wa miaka buku "millennium" kabisa![]()
Cry moreNa UNSUBSCRIBE huu uzi timu yetu iko na Upimbi mwingi sana ****.mayooh

Uzi wa Chelsea FC unakuhusu kuiombea ishuke daraja la EPL 2022/2023 kuponya magumu unayopitia Arsenal FCAfter all the great work throughout this season, after all the hype and praise for Arteta and Co. The team is chocking towards the very end...damn it!!!![]()

Shukuru unashabikia Yanga huku Bongo, la sivyo mwaka huu ungejinyonga kabisaa..Nina t-shirt tatu za arsenal, nazifungia kabatini indefinitely!
Hawa ndiyo wanaotukwamisha sisi Wataalamu wa afya ya akili kuhalalisha bangi ivutwe kisheria....Arsenal anashinda nilisema toka awali

Acha hizo Chifu, inamaana bado tu hujajua maana ya "pressing & over holding" anaposema hamisi77. A.K.A Zuzu la Arsepimbi?hamis77 njoo utuchambulie mechi ya leo.
Kuna kipindi Arsenyani alikua anaongoza kwa possession 93% - 7% halafu hapohapo Soton wanaongoza kwa goli 3 - 1

