Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Wachezaji wetu Wana mentality nyingine kabisa ,sio za kitoto kama Hao kina martnell ,saka ,ramsdel hajitambui [emoji23][emoji23][emoji23] tumetoka kumfundisha mpira TT na buyern yake sembuse Hao watoto kina holding.....Yeah huyu city tutaanza wenyewe kumfungia busta
Binafsi simuhofii city
Hiyo game ipo 50/50 ukiangalia ki-proffesional zaidi
Arsenal NDOO
Yaan Hao kina holding rodri atakuwa anajipigia kama panya ....