Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

KOMBE PEKEE analoweza kulipata Achenali mwaka huu ni kombe la matarasimu

Wanaweza kuwekewa katika chupa na maji na wakalibeba na kushangilia nalo London nzima

Ila kulipata KOMBE la EPL Mipango pekee itakayosaidia kulipata kombe la EPL ni kuliiba sio vinginevyo
IMG-20230417-WA0166.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
J5 dhidi ya city.

Unafikiri natakiwa kuogopa?
Hii mechi niliisubiri kwa hamu kubwa.

Hautakiwi kuogopa maana ukishabiki timu hiyo hayo ndiyo maisha ya kila siku .Kuna msimu wa Ramsey kwenye peak naTop scorer wenu mliongoza kwa muda mrefu watu tunajua tayari mabingwa kabla ya kunyan'ganywa tonge mdomoni .
 
Nimeipenda ile spirit tulioonesha from start, hasa second half
Tukienda kwa city tupande na spirit hii hii

Ni mjinga pekee atakaeamini city atashinda game zote zilizobaki

Genius arteta Leo ametuangusha kwa huyu mtoto wake veira, was good for nothing

Arteta atulize akili jinsi ya kuimaliza ligi

Arsenal NDOO
Haaland KIATU
 
Mnapitia kipindi kigumu sana arsemwali fc

Kombe mliliona lileeee hatimae linaenda kuwaponyoka

Poleni sana tropy less

next season is yours
 
arteta lazima ajue makocha kukosea kusajili ni kitu cha kawaida.. asiendlee kulazimish kumpa majukumu fabio viera ambay hayawezi.

kikosi cha arsenal nikifinyu kuweza kushindana kwnye big stages! kuna wachezaji wakuwaondoa na wengine bora zaidi waingie.
 
Nimeipenda ile spirit tulioonesha from start, hasa second half
Tukienda kwa city tupande na spirit hii hii

Ni mjinga pekee atakaeamini city atashinda game zote zilizobaki

Genius arteta Leo ametuangusha kwa huyu mtoto wake veira, was good for nothing

Arteta atulize akili jinsi ya kuimaliza ligi

Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Aliyezingua kipa kawatoa wenzake mchezoni
 
Nimeipenda ile spirit tulioonesha from start, hasa second half
Tukienda kwa city tupande na spirit hii hii

Ni mjinga pekee atakaeamini city atashinda game zote zilizobaki

Genius arteta Leo ametuangusha kwa huyu mtoto wake veira, was good for nothing

Arteta atulize akili jinsi ya kuimaliza ligi

Arsenal NDOO
Haaland KIATU

We can overturn the table against City; who thought soton would secure a point at emirates
 
We can overturn the table against City; who thought soton would secure a point at emirates
Yeah huyu city tutaanza wenyewe kumfungia busta
Binafsi simuhofii city
Hiyo game ipo 50/50 ukiangalia ki-proffesional zaidi

Arsenal NDOO
 
Back
Top Bottom