Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

lcimg-d792cf30-ce21-4b73-ae13-84e22a6a29e3.jpeg

Your FA Community Shield Winner 2026 💪

Let's meet at the top 🥂
 
Mechi kabla haijaanza wachambuzi wa Ulaya (bongo ilikua ni Mbege Junior na walevi wengine) walikua wanasema hii ni mechi ya muhimu sana na itaonyesha udhaifu wa Arsenal ulipo.

City alivyobatizwa ubatizo wa pili katikati ya mechi wale wachambuzi wakaanza kuita hii ni mechi ya preseason. Walevi wetu wa huku bongo wao wakasema ajali kazini.
 
Chelsea? Iliyomaliza nafasi ya 10? 😂😂😂 Na ina kocha mpya aliyenunua wachezaji 14 mpaka sasa?

You are not relevant
Chelsea ndio team ina wachezaji wengi wenye ubora Kuliko team yoyote Epl na pia wamebaki na key players wake Cole Palmer, Caicedo, Colwil, JOAO PEDRO, Reece James, Estevao Kuna nafasi chache wameongezea watu na nyingine wamejazia kwa hiyo msimu huu watasumbua wakikaa sawa pia kumbuka hawana michuano mingi hiyo pia ni faida ya kujijenga ndicho kilisaidia chini ya Conte kubeba ubingwa msimu wake wa Kwanza ikiwa msimu uliopita wake tulishika nafasi ya 10.

Lazima pia ujue reason kwanini Chelsea alishika nafasi ya kumi msimu uliopita? Kwanza tulikuwa tuna defence ya ovyo sana we imagine Tosin, Badiashile ndio walikuwa mabeki na hapo hapo beki wetu tegemeo Colwil akapata injury iliyomfanya akae nje msimu wote. Mchezaji wetu Bora Cole Palmer nae akapata injury iliyomfanya akose mechi nyingi. Safari hii Colwil Yuko fit na Kuna back up kwenye nafasi yake zile takataka mbili zilizokuwa zinagawa points za Bure kwa wapinzani yaani Badiashile na mwenzake Tosin zimeondolewa, Delap anauzwa alivyoumia Cole Palmer ikabidi Enzo Maresca amtumie JOAO PEDRO kama no 10 alafu na no 9 akae mchezaji hewa Delap kwenye mechi nyingi hii ilichangia sana kumpunguzia magoal Joao Pedro.

Ukikutana na team hizi msimu huu jipange Chelsea na Spurs, mfano Spurs watu hawawazungumzii ila Wana team nzuri sana na imekamilika kila idara naona ni team itakayotoa challenge msimu huu Kwanza Wana kocha mzuri alafu ni sahihi kuliko team kama Man City, Liverpool na Man City.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom