Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Sina imani hiyo tena
2 -2
2-2
1-3
Unadhan kwa city tutapona?
***** zao
Tutapindua meza kwa Man city. Na tutampiga 4 ok’lock
Sina imani hiyo tena
2 -2
2-2
1-3
Unadhan kwa city tutapona?
***** zao
Washachanganyikiwa hao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kugongwa mgongwe nyinyi halafu zigo la mavi mumbebeshe nyumbu.
Ni kweli hata mm naona ila kinyume chakePoints 3 zipo hapa
Saka, martinel, Trossad, Jesus, odegard
[emoji91][emoji91]
Ni mpira lolote laweza kutokea ila huu ni upimbiTutapindua meza kwa Man city. Na tutampiga 4 ok’lock
Mbona mimi sielewi
Yaani Arsenal 3 Soton 1 au?
Ndoto za alinacha[emoji23][emoji23][emoji23]Tutapindua meza kwa Man city. Na tutampiga 4 ok’lock
Hahaha watu mnaukimbia Uzi wenu huyu Ramsdale kila siku tunawaambia amna kipa paleNa UNSUBSCRIBE huu uzi timu yetu iko na Upimbi mwingi sana ****.mayooh
Lol! ona hata haya basiTutapindua meza kwa Man city. Na tutampiga 4 ok’lock
Ndoto za alinacha[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu dogo sijawai kumkubali bado ana utoto mwingiHahaha watu mnaukimbia Uzi wenu huyu Ramsdale kila siku tunawaambia amna kipa pale
😔😬😬😬😬 hii timu ni bure kabisaAfter all the great work throughout this season, after all the hype and praise for Arteta and Co. The team is chocking towards the very end...damn it!!! 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wana utoto flani hivi. Wao mkakati wao wa kucheza mmoja tu. Pasi fupifupi. Kuna chance za kufumua shuti tu lkn daah...Kuna mpira alitakiwa Vieira kuunganisha akatuliza basi nikajikuta nasema "Wachezaji wa mafungu" anyway jogoo limerudi kuwika
Huwezi kujua labda Saka anaweza kuliiba[emoji25][emoji24] arsenal kama huu msimu tumeliacha ili kombe itatuchukua mda sana kulipata
Bure kabisa, uongoze ligi karibia miezi yote uje uachie tonge games kumi zimebaki?😔😬😬😬😬 hii timu ni bure kabisa