Tunacheza vizuri kidogo siyo kama game na westham
Roho inaniuma balaa Kiparangoto kubeba EPL mara 3 mfululizo, lakini Arsepimbi nao ni wabovu kuliko hata timu ya mchangani toka Mchambawima, unadhani nitaendelea kukaza fuvu kushabikia Arsenal au Mwa-City kishingo upande? [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23] maiti yamng'ang'ania muoshaji
Uzuri wa mashabiki wa Man utd hua hatunaga nongwa na Chelsea, hata anguko lenu hua linatusononesha mpaka sisi.Kwa vita yenu Mashabiki wa Man Utd FC vs Arsenal FC, nasema muuane tu wala siamulii chochote maana nami napamba na hali yangu kuhusu Chelsea FC [emoji16][emoji2960]
Xhaka kaenda mafichoni mapemaZinny karudi
Xhaka hayupo na kikosi
Jana alikuwepo mazoezin ,huenda small issue au illnes
Nafasi yake atachukua Vieira
Weeee wasemaZinny akikaa role ya Xhaka alf mbavu ya kushoto akicheza Tieney hakuna ubaya
Apia"Naipenda Arsenal nawaangalia sana kutokana na aina yao ya uchezaji, pia wana kikosi cha vijana wengi hatari na tishio, fikira zao kwa sasa kama timu wanaonesha kuhitaji mataji makubwa nitafurahi wakinisajili"
[emoji981]Caicedo