MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
Hahhahaha
Mkuu game is not overGame over 1-3
Jinga jingine hili hapa. Kwa hiyo hawa watoto ndio mlitaka kuaminisha watu watachukua ndooZinny karudi
Xhaka hayupo na kikosi
Jana alikuwepo mazoezin ,huenda small issue au illnes
Nafasi yake atachukua Vieira
Kumbe pale kuna wachezaji wanatoa kishuzi?
Tumeongea sana wengine tukaonekana wapumbavu Arsenal alistahili kubeba Europa league tukaambiwa na die hard fans kuwa HATUITAKII MEMA haya sasa kiko wapi?sisi wenye akili tuliona bora Europa league hata tukikosa ubingwa tuna kombe la ulaya very PAINFUL PAINFUL


