Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwahiyo nyumbu wanaona bora wao walivyofungwa ila siyo Arsenal kusuluhu?

Ila nyumbu ni wajinga sana
 
Kumbe mashabiki wa Arsenyanus bado wapo ! cheki hii moja dully Jr ipo online ila huu uzi kwake mchungu.
IMG_20230422_072140.jpg


Mashabiki wa Arsenal wapo mafichoni wengine wametokomea jukwaa la upishi bora Aaron Arsenal anajipiga ban kabisa mpk muda wa tetesi
 
Nimeipenda ile spirit tulioonesha from start, hasa second half
Tukienda kwa city tupande na spirit hii hii

Ni mjinga pekee atakaeamini city atashinda game zote zilizobaki

Genius arteta Leo ametuangusha kwa huyu mtoto wake veira, was good for nothing

Arteta atulize akili jinsi ya kuimaliza ligi

Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Shida siyo yeye kutoshinda zote wala sisi kushinda zote.

Angalia namna hizi games 3 zimeenda. Mbili za kwanza tumeanza kuongoza magoli 2 kisha game plan ikawa nini? Hii ya jana tumeanza kuongozwa sisi na angalia jinsi imekua ngumu kurudisha magoli.

Outbox shots zimekuja dakika ya 80. Why? City outbox shots wanapiga mid na wanascore

Siku nasema city katuacha uzoefu kuna washkaji wakapinga ila sisi bado hatuna wachezaji wa kuamua matokeo. Kuna magoli tunaconcede ambayo hayasemi kua tunataka kushindana. Goli la kwanza na la pili.

Mechi iliyopita Saka anakosa penati, hii hapa Ramsdale anagawa goli.
 
Katika mechi za ushindani kama hivi ni bora ufungwe moja, usuluhu moja na ushinde moja kuliko kusuluhu zote tatu.
 
We rested for a week kabla ya game katika hizi games 3 Westham walicheza katikati ya week kabla ya sisi kukutana nao. Guess ni timu ipi ilicheza ikionyesha uchovu kushinda mwenzake?

Timu yetu haijui kukaba long balls, na haijui kushambulia kwa long balls, sideway passes na back passes tunazofanya kuna muda unaona ilihitajika thru ball moja tu.

Jana Jesus alionyesha kumove akapelekewa long ball moja ikawa offside baada ya ile uliona tena long ball yoyote ya kufanana na hiyo? Timu haijifunzi. Arteta nimemuona na kumsikiliza kwenye All or Nothing a guy should be genius na kuona tatizo tangu game na Liva.

Vieira is an intelligent player hili sikatai lakini yeye pia anasema ligi ya uingereza is too physical na akasema anataka aimprove physically. Lakini ni unamuona yupo vile vile still crumbles kwenye kila physical battle.

Goli la pili la Soton ndiyo aina ya magoli timu inayotaka ubingwa inayafunga day in day out. Siyo hadi tumpe mpira Saka no huyu huyu aliyeupata anadribble kuja mbele while forward anaangalia chumba kulifuata goli siyo kulikimbia goli.
 
Roho inaniuma balaa Kiparangoto kubeba EPL mara 3 mfululizo, lakini Arsepimbi nao ni wabovu kuliko hata timu ya mchangani toka Mchambawima, unadhani nitaendelea kukaza fuvu kushabikia Arsenal au Mwa-City kishingo upande? [emoji4]
Binafsi hata mimi kutoka dhati ya moyo wangu nilitamani Man City asichukue ubingwa. Ila ndio ivyo tuliyemuamini anakula za uso daily na hana uwezo wa kum challange kipara kwenye mbio za ubingwa.
 
Huu musimu ndiyo ilikuwa peak yenu hamuna kombe lolote munashiriki zaid ya epielo mataito kontendaz munakwama wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakati tupo kwenye tittle race na liverpool, liverpool ambayo ilikua haidondoshi point hovyo kama nyie, liverpool ambayo ilikuwa na wachezaji ambao wapo matured enough na wanaweza kucheza na kupata matokeo under pressure, akija pale etihad hajawahi kupata pointi 3.

Leo arsenal yenye wachezaji ambao hawawezi kuhimili pressure na wengi hawajiamini ndio mnataka mje kumpiga city ETIHAD?!!
Mpira unadunda ila kwa stages kama hizi, City huwa ni winning machine na wote ni mashahidi, liverpool walikua tishio kuliko nyie lakini waulizeni walivyobaki ulimi nje, point 1 tu iliwashinda kurecover.

Lakini sio mbaya mkipeana matumaini.
Nawasubiri Etihad mniletee kombe langu in pep's voice.
 
Apo city ana game mbili ajacheza na ninyi mumebakiza mechi sita tu 😂😂😂😂
Kwenye izo mechi zilizobaki una Chelsea, City, Brighton, sijui Nu Casto ..mataito kontendaz mupo 🤣🤣🤣🤣
 
Timu yoyote ile ingekua position tuliopo sisi ingechukua ubingwa hata Nottingham forest[emoji23] . You are top of the table , unacheza na liverpool mbovu ndani ya dk30 unaongozaa 2 :0 , unacheza na westham inayopambana kutoshuka daraja ndani ya dk 15 unaongoza 2:0 na cha msingi zaidii unataka kuwa bingwa confidence ipo ya kutosha maana tayari unaongoza na upo on the top of the table , umepumzika vya kutosha maana upo only kwenye epl unacheza sunday to sunday ila wapinzani wako walikua na gemu katikati ya week. Hata mungu mwenyewe anashangaa hawa arsenal niwape nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23] maana favorable conditions zote zipo kwetu lakini at the end tumechoma game zote 2.

Inanikumbusha 2016 welbeck anafunga goli la kichwa dk ya mwisho kabisa vs Leicester tunarudiii kwenye title race na hope kubwa kilichofuata kilikuwa kituko game inayofuata ikawa j5 tukapigwa na swansea rasmi ndoto za ubingwa zikazikwa !! The arsenal way!!

The arsenal way will always be a false hope!!! Maana technically mpaka saivii man city wapo 2 points ahead of us!!
ITS ALL OVER FANS INABIDI TUKUBALIIIII. ITS OVER
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wazee wa Aseno ndoo haland kiatu wanatoa maoni gani kuhusu game ya jana?
Tumpe muda arteta ataleta makombe mengi sana the Ganaz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom