hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,250
- 26,641
Umelambwa 3-0 una habariHeheheee uyu jamaa lazima atajinyonga![]()
Umelambwa 3-0 una habariHeheheee uyu jamaa lazima atajinyonga![]()
Tutakapombonda bwana wenu City ujitokezeHeheheee uyu jamaa lazima atajinyonga![]()
Muoga sana kijana, ukifungwa unajifungia ndani unalia, nakuambia utajinyonga siku moja we endelea kuwa na mdomo mrefu wakati we ni shabiki wa Ass'analTutakapombonda bwana wenu City ujitokeze
Mmelambwa 3-0











Kumbe huyo kenge ni MAN UTutakapombonda bwana wenu City ujitokeze
Mmelambwa 3-0
Arsenal kafungwa liniMuoga sana kijana, ukifungwa unajifungia ndani unalia, nakuambia utajinyonga siku moja we endelea kuwa na mdomo mrefu wakati we ni shabiki wa Ass'anal![]()
Zinny akikaa role ya Xhaka alf mbavu ya kushoto akicheza Tieney hakuna ubayaZinny karudi
Xhaka hayupo na kikosi
Jana alikuwepo mazoezin ,huenda small issue au illnes
Nafasi yake atachukua Vieira
Tatizo lako ni moja tu mkuu una tatizo la kujificha timu ikipata matokeo mabovu.Nimemaliza kufuturu sasa nimetupia uzi wangu wa Arsenal naelekea banda umiza kuangalia mpira mzuri wa Arteta![]()
Habari za nyumbu zimeishia kwa Sevilla![]()
Tofautisha kujificha na kuchangia matusiTatizo lako ni moja tu mkuu una tatizo la kujificha timu ikipata matokeo mabovu.
Unaitajika uchangie hapa hata kama timu inafanya vibaya wewe kazi kumkandia computerarsenal wakati wewe ndo shabiki maandazi upo hapa timu ikifanya vizuri tu.
Sasa mbona man u akifungwa unakuja kuchangia japo watu wanatukana lkn unakuja, so yanakuwa matusi pale timu yako inapofanya vby tu ila timu ya mwenzio ikifanya vby yanakuwa sio matusi? Ukweli ni kwamba una moyo mwepesi kutokana na wewe kuwa shabiki wa mpira na sio mpenzi wa mpira.Tofautisha kujificha na kuchangia matusi
Mm sio muumini wa matusi ,angalia comment za haters Ni matusi
Kule jukwaa la manjesta nawapa facts zinawaingia ,hata mkinitukana sijibu matusi
Sasa tofautisha kujibishana matusi na kuchambua mpira
Tunachofanya tunapisha Kwanza mmalize kutukana
Halafu Arsenal haijafungwa
Manjesta ndiye kalambwa 3-0