Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG_6042.jpg
 
Poleni sana gunners wenzangu.
Binafsi nilishasema simdai Arteta chochote Kwa hapa alipofika.
Suala la ubingwa lilikuwa gumu tangu mwanzoni ila vijana wamejitahidi. Hata hivyo Arsenal wajilaumu wenyewe kwanza Kwa kuchezea fursa
 
Nimeipenda ile spirit tulioonesha from start, hasa second half
Tukienda kwa city tupande na spirit hii hii

Ni mjinga pekee atakaeamini city atashinda game zote zilizobaki

Genius arteta Leo ametuangusha kwa huyu mtoto wake veira, was good for nothing

Arteta atulize akili jinsi ya kuimaliza ligi

Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Pia ni mjinga Zaidi atakayeamini Arsenal atsshinda game zake zote zilizobaki...

J5 maji na mafuta vitajitenga tupo hapa.
 
Poleni sana gunners wenzangu.
Binafsi nilishasema simdai Arteta chochote Kwa hapa alipofika.
Suala la ubingwa lilikuwa gumu tangu mwanzoni ila vijana wamejitahidi. Hata hivyo Arsenal wajilaumu wenyewe kwanza Kwa kuchezea fursa
😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Arsenal akikosa NDOO niulizwe mimi

Katika mechi zilizobaki kwa city Kuna atakazo win, draw na zingine kupoteza kabisa
SOMA TENA[emoji115]
Ila katika match atakazowin city yenu ni ya kwanza,

Tottenham aliwahi kufanyiwa Roho mbaya na Chelsea kipindi kile Leicester anabeba. Mlondon mwenzake. Subirini hapo...

Hizi kelele zenu kuanzia katikati ya week mtakuwa kama mmefiwa...
 
"Naipenda Arsenal nawaangalia sana kutokana na aina yao ya uchezaji, pia wana kikosi cha vijana wengi hatari na tishio, fikira zao kwa sasa kama timu wanaonesha kuhitaji mataji makubwa nitafurahi wakinisajili"

[emoji981]Caicedo
Msikilize huyu pimbi [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom