Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado Arsenal tulikuwa na nafas ya kuimaliza mechi even dk ya mwisho, why Liverpool hajashinda
Bado ulikuwa na matumaini ya kushinda hii mechi!!! Wachezaji na kocha wako walitamani iishe hata dakika ya 75 kwa ile pressure uliyopigwa. Tulia uangalie ball possession ya 2nd half, shots na chances Liver misses. Ndio utajua huna timu.
 
Arsenal are yet to face Chelsea & Brighton (home), and Man City & Newcastle (away), while Man City's biggest remaining fixtures are Arsenal & Chelsea (home).
Hahaha 🤣 city kadrop points kwa out of form united na mid table teams.
 
Nawaambieni hili bus mlilopaki leo mtalikumbuka tu mwisho wa siku
Yaani litawacost[emoji1787]
Kama mnabisha susbirini muone.
Hakuna kupaki basi hapo, na aseno hana tabia ya kupaki basi. Ni pressure kubwa waliyopelekewa wakajikuta hawasogei mbele wala sio mpango wao kupaki bus.
 
Mechi ya leo ndo ilikuwa inaamua ubingwa wenu
Mmeichezea

Subirini kilio[emoji23]
Ligi ina mechi 38, huwezi kusema mechi moja ndio inatoa ubingwa

Tulipoteza game ya city na tukawa level kwenye point ila hakuna aliedhani tungebounce back na kurudi kwa utofauti wa points kadhaa

Ni mlevi tu ndo anaweza kusema kupoteza mechi ya leo ni kumpa city ubingwa
 
Hadi punda walioliwa 7 wanakuja kutoa ushuhuda.

This is massive
 
Hakuna kupaki basi hapo, na aseno hana tabia ya kupaki basi. Ni pressure kubwa waliyopelekewa wakajikuta hawasogei mbele wala sio mpango wao kupaki bus.
Mlishindwa kweli kwenda na moto mlioanza nao!
Yaani liver tulivyo wabovu safari hii, siamini kama mmeshindwa kabisa kuchukua points tatu,[emoji23]

Nawakumbusha
Huku mwishoni Kipara huwa hatanii.
Mtajionea wenyewe[emoji1787]
 
Ligi ina mechi 38, huwezi kusema mechi moja ndio inatoa ubingwa

Tulipoteza game ya city na tukawa level kwenye point ila hakuna aliedhani tungebounce back na kurudi kwa utofauti wa points kadhaa

Ni mlevi tu ndo anaweza kusema kupoteza mechi ya leo ni kumpa city ubingwa
Sawa
Sisi walevi msimamo wetu ni huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja tuendelee kuangalia.
 
Nyie nyie[emoji1787]
Mnachukulia poa?

Yule baba Kipara ana roho ngumu yule Baba
Nyie haya[emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom