WATAPIGWA TU
Fabio angetupisha
Hamis77 hakikusikia mnagombana aise kwa jinsi anavyo mkandia degea.We need a stopper, not Ramsdale
Tatizo la hamisa77 ndiyo hili, hutomuona mpk washinde.Hamis77 hakikusikia mnagombana aise kwa jinsi anavyo mkandia degea.
Wamekimbizwa vizuri Sana
Kipindi Cha pili tuwapelekee moto kiwango hiki hiki
@Kinumbo unanifurahisha sana jinsi unavyozifariji hizi kima kwa maneno yako matamu yaliyojaa busara.Kikao cha hovyo kuwahi kutokea [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2595573
[emoji23][emoji23][emoji23] maiti yamng'ang'ania muoshajiOgopa sana kukutana na timu inapambana isishuke daraja
"Alisikika mlevi mmoja akiropoka"Sisi Arsenal tunachukua ubingwa wa EPL na UEFA msimu huu [emoji23][emoji23]
Kwa vita yenu Mashabiki wa Man Utd FC vs Arsenal FC, nasema muuane tu wala siamulii chochote maana nami napamba na hali yangu kuhusu Chelsea FC [emoji16][emoji2960]@Kinumbo unanifurahisha sana jinsi unavyozifariji hizi kima kwa maneno yako matamu yaliyojaa busara.
#Arsenyani Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023