Hahahaha tunataka mukasirike adi muweke miguu mfukoni au mumeze wembe kabisa ...
Enewei ivi kati ya Conte na Arteta Nani anastahili kucheza UEFA? Tuseme tu ukweli mazee
Umeshinda game nyingi alafu upo nafasi ya tano ..eboo!!Hatuna quality lakini tunachallenge Spurs wenye kane & Son, hatuna quality ila tumeshinda game nyingi EPL ukitoa Liverpool & City, tuache kuwa biased, at times kama hujui unachoandika ni bora kukaa kimya.
Mitano tenaπ© Arteta Worst Stats π
π Manager of the Month:
β Arsenal 1:2 Man City
β Nottingham 1:0 Arsenal
β Arsenal 0:2 Liverpool
π© Manager of the month (2nd time)
β Crystal Palace 3:0 Arsenal
β Arsenal 1:2 Brighton
β Southampton 1:0 Arsenal
π© Rewarded with a contract
β Tottenham 3:0 Arsenal
β Live: Newcastle 1:0 Arsenal
π Arteta hate it, when you praise him, he always respond with defeat
Ni kejeli sababu ameikuta timu kwenye Europa competition na last season akashindwa kuqualify kwenye Europe competition na ameirudisha Arsenal kwenye Europa Competition otherwise Sunday Spurs afungwe then Arsenal ashindeHizi ni pongezi au kejeli?
Sijamuelewa kabisa huyo jamaa.
Anyway it is shame to see 300 million has been spent to have this kinda squad. BTW I still trust the process.
Arse ninyi mnafaa kuwa na academy kama akina Nketiah tu. High profile hamuwawezi
Mmemfukuza Auba sasa kule kakiwasha game 15 goli 11 na assists 1
Akiwa Arse misimu miwili game 43 goli 14
Au mmesahau kuwa Arse ni academy ya kuwakuza vijana na kuwauza. Na mapato yenu yanapatikana kwenye hiyo chanzo. Siku mkianza kushindania makombe mtaporeza dira kabisa. Tuandalieni ti hao academy na miwaingize sokoni haraka kabla hawajashuka bei. Bukayo Saka msimu huu tutamhitaji. Pigeni bei acheni ufala
Madhara ya Bangi za kuvutia chooni
Ndio maana hii Timu inapendwa sana na walimu kwa sababu ina makinda mengi watoto wa shule
Sio wanafaa, Ulaya nzima wanaitambua AsaniAli ni Academy.
Hata uongozi wa Uefa unatambua hilo ndio maana hua wana nafasi yao ya kudumu Europa.
Hata wakifuzu kucheza Uefa wanajua hawa watoto wanatolewa kwenye mchujo, hivyo wameshawekewa nafasi yao ya kudumu pale Europa.
Bangi au nimewapa ukweli, tangu enzi za Asene Wenga ninyi si chuo cha kufyatua wachezaji wazuri wa kuja kuwapa makombe klabu kubwa kama Chelsea. Au umesahau hiyo. Wekeni Saka sokoni, kwa sasa ana bei kubwa mkichelewa mtakosa noti na makombe, bora mkose makombe mshike mshiko
Na madhara ya bangi za kuvutia chooni huwa yanaanza taratibu ila mwisho wake huwa mtu anavua nguo na kujisaidia haja kubwa Barabarani mchana kweupe
Wahi Sober mzee..... Nafasi bado unayo kabla madhara hayajawa makubwa
Tuachane na mambo ya bangi, hiyo ni maigizo tu sema leo mnapandikiziwa ngapi huko
Kuanzia saa nne kasoro robo nitakuwepo hapa na full bangi,
Leo niko na Spurs na tuna jambo letu hapo Tottenham Hotspurs Stadium
Spurs wakiwajaza mtafunga mabakuli, mkitoa droo sisi mtadonoana points huku sisi tukipeta top 4 na kuwachia nafasi ya nne mgombanie wenyewe.
London is Blue
Itawachukua miaka 3-5 hadi hao watoto wakue ndipo muanze kupambana na wakubwa kama ChelseaNa Spurs wanajua umuhimu wa mechi ya leo, akimfunga Arsenal posibility ya kuingia top 4 inaongezeka sana
Akidroo au kufunga ndio bye bye top 4
Tuliwaonya lakiniSpurs wana
Watapata points tu kwa Norwich, kwa arsenal na Burnley wanaweza pata sio zaidi ya 2
- Liverpool - leo
- Burnley
- Arsenal
- Norwich
Arsenal wana
Hwatapata zaidi ya points 6
- Leeds
- Spurs
- Newcastle
- Everton
Hawa Inzi wanatucheka lakini wao hawaangalii ngoma inaypowasubiri
Our 3rd position ni yetu MUNGU MKUBWA
Jidanganye yaan umfunge Newcastle
Tuna Leeds
Leicester city
Watford iliyoshuka daraja tayari
Naomba Mungu tuokote pochi mechi zote hizo
Mna Leeds
Spurs
Everton
Hizi timu mkiokota zaidi ya points 3 nitajipiga ban ya mwezi mzima
Tatizo lilianza pale mlipoanza kuvunja amri ya 10 ya Mwenyezi Mungu aliposemaSpurs wana
Watapata points tu kwa Norwich, kwa arsenal na Burnley wanaweza pata sio zaidi ya 2
- Liverpool - leo
- Burnley
- Arsenal
- Norwich
Arsenal wana
Hwatapata zaidi ya points 6
- Leeds
- Spurs
- Newcastle
- Everton
Hawa Inzi wanatucheka lakini wao hawaangalii ngoma inaypowasubiri
Aliyeizamisha hii timu ni kocha kwa kasoro moja tu, immaturity kwenye ukocha. anawaingizia vijana hasira za kijingajinga badala ya kuwafundisha kuwa professionals. Ukiwaangalia wachezaji wa Arsenal wanacheza kibabebabe uwanjani na rafu nyingi. refa akiwaadhibu wanaona wameonewa na kocha wao naye kujifanya bingwa wa public address kwa kuongea hovyoIla kocha wenu ni very very imature
Hahahahahaha tumevurugwa FCView attachment 2228102
Nani tena huyu?
Why Arsenal tusipeleke ofa Robert Lewandoski?tena fee haitakuwa kubwa why?tukiqualifychampions league tumsign best striker in the worldatatupa Big trophieshuyu
Trust me hizo game zilizobaki Tot anashinda zote 2 na Arsenal anashinda zote.
CL ni yetu hakuna wasi juu ya hilo.
Katiba ya sasa inawazuia Arsenal kucheza UEFAArse8 mulitaka kwenda UEFA kudai katiba mpya niniππππ
Arse8 mulitaka kwenda UEFA kudai katiba mpya niniππππ
Hii sina mbavuπ€£π€£πππππKatiba ya sasa inawazuia Arsenal kucheza UEFA
Hiyo ni kawaida sana, hata wewe ukifungwa morale inashuka, ukishinda inapanda...Arsenal fans wanachekesha wakishinda mechi mbili tatu basi uchambuzi na tetesi uchwara zinajaa humu pamoja na vingereza vingi uzi unapanda kila wakati fans kibao wapo active lakini wakipigwa wanapoteana kabisa isipokuwa wachache.
Hivi jamaa Aaron Arsenal mbona haungani na fans wenzake wkt wa mojonzi yeye Kazi tetesi na habari za mazoezini timu inapokuwa kwenye form? mbona sisi Nyumbu tuko hapi muda wote uchumbuzi unaendelea wakina Flano , Allypipi na wengine hawapoi ?
Hapana ,nimeacha hata kuwa seriaz na soka kama zamani na nimefanikiwa kwa sasa wapigwe au wasipigwe sawa maisha mafupi haya niumizwe na maisha ya bongo na timu nayo inipe stress ?sio kweliHiyo ni kawaida sana, hata wewe ukifungwa morale inashuka, ukishinda inapanda...
Kuhusu kuhusisha wachezaji wapya tena top top ni sawa coz hakuna wachezaji wazuri wanataka kucheza makombe ya mbuzi.
Niambie kama wewe unaenjoy timu yako ikipigwa!
Mwamba umenifurahisha Sana hapaArse8 mulitaka kwenda UEFA kudai katiba mpya niniππππ