😄😄 Arsenal hamuishiwi false hopes kwa kweli. Mnajipaga ukubwa ambao haupo as fans lakini kwa fans wa team nyingine nyinyi Huwa team ya vichekeshoHapa ndo utaelewa why DSTV, Compact package, 68,000 tzs, unawaona Madrid vs Munich
Ila, Arsenal na Sporting, Compact Plus, 118,000 tzsView attachment 3569228View attachment 3569230
Barca nilisha sema hamuwezi atm wa msimu huu, atm akisikia harufu ya kombe ana kaza kishenziTukaze game ijayo tushinde, kuingia nusu ni bora zaidi.. ila kwa mchezo huo barca atatuacha salama kweli, au ndio kwakuwa nae haeleweki eleweki?
Una hangaika sana kama mbuzi wa kafaraArsenal ikatokea though ni ngumu sana ni zaidi ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano mkabeba EPL .
Mchezaji Bora wa msimu kwenu atakua David Raya .
EPL kwa mara ya kwanza player of the season anakua kipa 😄 maana sidhani kama pale arsenal kuna mchezaji amemzidi Raya overall performance mpaka sasa kwa mbali anayemfuatia ni Gabi.
Man city alichukue tu hili kombe haiwezekani EPL player of the season awe kipa, alichukue atuondolee hii aibu
Sawa mwanangu wa quadruple , nipo hapa nawaombea mbebe EPL au hamlitaki na hili kombe kama carabao na FAUna hangaika sana kama mbuzi wa kafara
Kaa na maombi yako uchwara, viva arsenal 🔥Sawa mwanangu wa quadruple , nipo hapa nawaombea mbebe EPL au hamlitaki na hili kombe kama carabao na FA
Kadi nyekundu ile imewaharibj jana, ngoja tuone game ijayo.. mie ni muumini sana wa el cholo, tuseme tu shabiki wa atletico kabisa, hata mtandao wangu wa jamii nimeandika hivyo, lakini msimu huu haeleweki.. game ijayo sijui kama atletico hatopa nyekundu.Barca nilisha sema hamuwezi atm wa msimu huu, atm akisikia harufu ya kombe ana kaza kishenzi
Just wake up your dump ass, kwani huyo Raya ni mchezaji wa timu gani?Arsenal ikatokea though ni ngumu sana ni zaidi ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano mkabeba EPL .
Mchezaji Bora wa msimu kwenu atakua David Raya .
EPL kwa mara ya kwanza player of the season anakua kipa 😄 maana sidhani kama pale arsenal kuna mchezaji amemzidi Raya overall performance mpaka sasa kwa mbali anayemfuatia ni Gabi.
Man city alichukue tu hili kombe haiwezekani EPL player of the season awe kipa, alichukue atuondolee hii aibu
Huu msimu Newcastle yako inapambania kombe gani?Sawa mwanangu wa quadruple , nipo hapa nawaombea mbebe EPL au hamlitaki na hili kombe kama carabao na FA
😀😀😀Naona mazoezini mnashikishana pen tu, mtalichukua kweli hili kombe wazee?.
Pep yeye anapiga hesabu zake , nyingi mpo mazoezini mnashikishana pen daah false hopers nan aliyewaloga?
Jiandaeni kupigwa na kitu kizito kichwani mpaka mzimieFriends of Bournemouth tumeshafika eneo la tukio 😂
Line up imekaa kimiyeyusho Sana bt we're winning bro.Leo tunarudi tena na pira letu tia maji tia maji.
KAzi tunayo sisi na wanayo wapinzani vilevile maana hatueleweki manina.
Anyways, Arsenal to death
Kwa hii lineup naona Madueke ndiye atakua shot taker mkubwa ila hapohapo atakua liabilityLine up imekaa kimiyeyusho Sana bt we're winning bro.
We're the Arsenal
Acha tuoneKwa hii lineup naona Madueke ndiye atakua shot taker mkubwa ila hapohapo atakua liability