Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

angalau mmepata mshambuliaji..za leo majirani??

cc. Piere.Fm:wacko:

Mkuu agosti 8 Huku ni salaama mambo yanaenda vizuri.
Do you remember Sturidge saga!? Kama unakumbuka ni vema na ndio maana ninaposema jiwe walililolikataa waashi litakuwa jiwe la msingi nina maanisha.
 
Last edited by a moderator:
Kaka acha jazba tunazungumzia soka hapa kila timu ipo open kuzungumziwa. Inakuuma kuona mambo hayaendi kama ulivyotarajia nini? Juu ya Wilshere nakubali jamaa ana frustrate, sio siri, ukiwa mpenzi mkomavu wa soka lazima uangalie pande zote za shilingi.

Nani mwenye jazba arifu? Unaweza kufahamu mtu mwenye jazba na usiyemwona kupitia maneno?

Uh, sasa unanifundisha ukomavu wa soka!!😴😴😴

Welbeck ndiyo huyo sasa; tuone kama mtaendelea kumpondea 🙈🙈🙈
 
Halafu inasemwa kwamba Falcao huenda amefeli jaribio la kwanza la uchunguzi wa afya yake (Medical)kule Man Utd, ila haiwekwi wazi.

Usisahau Welbeck ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uingereza.

1. Duh, watu kweli mna chuki na United. Poleni, Falcao ndiyo huyo kapewa jezi No. 9..

2. Mpeni nanyi Welbz No. 9 🙈🙈🙈
 

Pole kaka, kwani wewe ulitaka amsajili nani?, kwa dau gani?....alipwe mshahara kiasi gani?
kwa mkataba wa miaka mingapi?
:coffee:......maana sio PS3 game hii, formation ikikataa una delete mchezaji!

William carvalho,ronvlaar,derous hasara za kukosa kusajili ni kubwa sana
 
1. Duh, watu kweli mna chuki na United. Poleni, Falcao ndiyo huyo kapewa jezi No. 9..

2. Mpeni nanyi Welbz No. 9 


..........hapana, 23 ndio imemfaa! :coffee:
Mna jingine? hebu mwacheni sasa.

'....hamtajua thamani ya kitu mpaka mkipoteze!.....'
 

..........hapana, 23 ndio imemfaa! :coffee:
Mna jingine? hebu mwacheni sasa.

'....hamtajua thamani ya kitu mpaka mkipoteze!.....'

waka huu lazima tuwapige 9-0 si mnakumbuka 8-2 nyiee!!!! mwaka jana tulikuwa tia maji tia maji tuliwachapa 1-0 mwaka huu lazima tuwape 9-0...............huku FALCAO kule DI MARIA hapa ROONEY weweeee RVP huwa anawaonea huruma siku hio tunamtupa benchi!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
waka huu lazima tuwapige 9-0 si mnakumbuka 8-2 nyiee!!!! mwaka jana tulikuwa tia maji tia maji tuliwachapa 1-0 mwaka huu lazima tuwape 9-0...............huku FALCAO kule DI MARIA hapa ROONEY weweeee RVP huwa anawaonea huruma siku hio tunamtupa benchi!!!!!

Falcao spanner mkononi ...
 
453069504-e1409304625827.jpg


Monaco hawakubali kumuuza Radamel Falcao bali, wamekubali
kumtoa kwa mkopo wa mwaka moja
Total cost £20 million - inaonekana wanataka ku-balance check book yao.
Prof yupo gado ameficha karata zake, lakini wachunguzi wa mambo wamebaini
Falcao Columbian star atatua
Emirates on a d-day.

Na hapo ndipo Gunners watakuwa wamefunga kazi .... ... .. COYG


BTW nimeambiwa Morinyo tayari kapata tumbo la kuharisha .... .... ..

Prof hawezi kumnunua Welbeck baada ya Manure jufanya fujo kwa Falcao .... ..... ..... Manure hawakuwa wanamuhitaji bali ni wivu tu sasa mpunga utawatokea puani. Usajili utafanyika in three hours tutajua nani ndani nani nje lakini Welbeck is out ... .... ... ... COYG






Egg on your face, THE DELUDED ONE. Hahahahahahahaaaaaa!!!!
 
Mzee wa timu za vichochoroni umefufuka khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini huishi kuja kwa Gunners si unaona menyewe majileta kwenye timu bab kubwa safi ana khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Gunners tunatisha hivi tu mnatapatapa ... ..... ...
Mwishoe Wellbeck ndani!! teh teh teh..
 
yaani wewe ata unga wa ubuyu sikuletei

mwaya usijal leo nimekuletyea tena za ufuta zanye maziwa ni tamujeeee??
ongeren kwa kapoint

:clock:.......'kwishaaaa!,'..... hehhe, umen'letea kashata? :coffee:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu agosti 8 Huku ni salaama mambo yanaenda vizuri.
Do you remember Sturidge saga!? Kama unakumbuka ni vema na ndio maana ninaposema jiwe walililolikataa waashi litakuwa jiwe la msingi nina maanisha.

Sturidge na Wellbeck uchezaji wao ni tofauti kabisa,Sturidge ni mfungaji mzuri tatizo hakupewa nafasi ya kucheza alipokuwa Man City na Chelsea na akawa hajiamini so Rodgers alimpa nafasi na akapata confidence Liverpool walikuwa na Suarez tu kama striker.Wellbeck ni the best defensive striker workrate yake ni kubwa na anasaidia sana kukaba but sio mzuri sana kwenye umaliziaji.Arsenal wanacreate nafasi nyingi sana walikuwa wanahitaji striker ambaye ni mzuri kwenye umaliziaji kuliko Giroud na Sanogo but kwa umaliziaji still Giroud ni mzuri kuliko Wellbeck
 
Last edited by a moderator:
Falcao spanner mkononi ...

Hata RvP alikuja akiwa spanner mkononi toka goons..ila kufika tu akatupa taji na mauzo ya jezi yake (ambayo hata msimu wa mwaka jana ndiyo iliyoongoza kwa mauzo). Unataka nini zaidi hapo?

Falcao atatupa mauzo ya jezi yake; na atatumika vizuri tu na kuleta mataji nyumbani kwa mataji :violin::violin:
 
Back
Top Bottom