Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Walistahili hata kushinda, kuna goli moja Ulloa alikosa. Wenger mbishi alafu habadiliki kujiadjust na modern game. Hana tactics, ni kama anawaambia tu wachezaji, haya! Nendeni mkacheze mpira, regardless tunacheza na nani. Tujipange.
Give me a break kwa mpira gani? Wachezaji wao walikuwa wanabebwa na refa Kosc kaumia no card, Ozil kaumia no card, Ox kaumia no card this referee was unbelievable unless we were watching a different game. Modern game unayoongelea ni ipi? Prof halipwi £8 million na ushee kama angekuwa mwehu. Timu ipo nzuri ni mwanzo tu wa msimu kuna timu wanatamani mafanikio yetu under Prof.
Sijui tar13 man cty watatutendaje...ngoja tusubiri hii deadline itakuwsje. We need quick precise world class striker...sijui nini kimempata ozil...infact sisi na man u tupo njia moja....Wenger afanye maamuzi kabls ya saa6..otherwise hata iyo playoff zake za kucheza uefazitapotea
Hao City tuliwachabanga 3 mtungi City ipi unayoiongelea ... .... .