£ 350,000 per Week FALCAO.
£ 300,000 per Week Rooney
£ 250,000 per Week Di Maria
£ 220,000 per Week, Van Persie.....
#7UpWamechanganyikiwa!......
Ooooppsss, wamesajili golikipa wa Sampdoria! .....still loading! :nerd::nerd::nerd:
Wacha uongo wewe hiyo ni media ya UK kila mchezaji lazima ahusishwe na Gunners kwanza .... ..... . naona umefufuka weekend yote uliunyuti khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nyie ni vilio tu mwaka huu 7Up!
Dah! Ila Wenger nuksi. Wenger ni mchumi, sio kocha. Angepanda uongozi wa juu tu awe mshauri huko. kwa hiyo angalau wachezaji wawili tumewaongeza msimu huu. Sanchez na Welbeck (endapo atadhibitishwa), sababu kiukweli Debuchy ni direct replacement wa Sagna, na Chambers ni direct replacement wa TV5. Labda kwa Welbeck sasa waingereza wataanza kumpenda kidogo Wenger kwa kuwa na viyoso vingi vya timu ya taifa. Ila Kiungo mkabaji ndo tusahau sasa. NB: Welbeck endapo atadhibitishwa hatimaye atakuwa kaiona Champions League, wakati RVP, Rooney, Di Maria, Falcao hawapo! Lol!
![]()
FACT: Danny Welbeck is the only player in the Arsenal squad with a Premier League winners medal.
Falcao atalipwa £ 140,000
Welcome to arsenal Danny Boy .. kijana kaona mbali maana aligoma mkopo kataka permanent deal
Kutoshiriki kwetu uefa safari hii naona kunatucost sana aisee,wachezaji wanaanza kutukimbia na kuhamia timu pinzani.Tushampoteza Welbeck tayari.Hongereni Gunners kwa kuchukua kifaa hicho,nna imani kitawasaidia sana tu
Hata mimi naona ......
Mkuu anachukuwa 350000
Subiria ushuhudie jinsi jiwe walilolikataa waashi litakavyokuwa Jiwe la Msingi.
Welcome to arsenal Danny Boy .. kijana kaona mbali maana aligoma mkopo kataka permanent deal
danny mbona poa tu.................
Karibu Arsenal kijana Danny Welbeck.
![]()
Danny Welbeck alipokuwa Man Utd katika msimu wa 2012/13 alicheza mechi 27 na akafunga goli moja tu.
Lakini ametoa sababu ya kufanya hivyo, kwamba mzee Alex Ferguson alikuwa akimchezesha upande wa kushoto pembeni na hali hio ilikuwa ikimpa tabu kugeuka kwenda eneo la hatari na wakati mwingine akiwa na majukumu ya ulinzi wa back four.
Akiwa Arsenal, Welbeck atacheza namba 9 akiwa mshambuliaji badala ya Yaya Sanogo na huku akiziba nafasi ya Olivier Giroud hadi mwakani hivyo kuwa na jukumu la kumalizia vyumba vingi vitakavyokuwa vikitengenezwa na Ozil, Cazorla, Wilshere na Sanchez.
Welbeck ataingia uwanjani tarehe 13 Sept wakati Arsenal itapopambana na Man City.