Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongera sana BAK,naona leo utalala vizuri.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
mapemaaaaa kila mtu kwnye nafasi yake jamani .......... Arse888 hongereni kw ushindi. mana naona droo msimu huu ndio itakua inakua ushindi kwenu.

Grand PA
 
Angalieni msifungwe mechi 2 au 3 ndani ya miezi 3 ya LVG adjustment period, sababu mkishafungwa hizo mjue itakuwa very mbinde kurudi top 4. Arifu afu kuna beef gani kati ya LVG na kina Giggs/Welbeck? Naona LVG ameanza kulalamika maswala nyeti yanafichuliwa barazani bila ruhusa yake.

Ya OT hayakuhusu...deal kwanza na mpango wa 'kurudisha' kiwango cha overrated player wenu, Wheelchair, mvuta fegi!!
 
Ya OT hayakuhusu...deal kwanza na mpango wa 'kurudisha' kiwango cha overrated player wenu, Wheelchair, mvuta fegi!!

Kaka acha jazba tunazungumzia soka hapa kila timu ipo open kuzungumziwa. Inakuuma kuona mambo hayaendi kama ulivyotarajia nini? Juu ya Wilshere nakubali jamaa ana frustrate, sio siri, ukiwa mpenzi mkomavu wa soka lazima uangalie pande zote za shilingi.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hahahahahaha lol!!!! Kumbe Mdudu Nzi unapenda raha sana weye!!!!

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Yes ni kama ushindi banaa.... ugenini unacheza na timu nzuri kama Everton zikiwa zimesalia dakika 10 unarudisha goli zote ni ushindi banaaa...Hukuwaona wameshika vichwa kama wako msibani!?

......argh, utawaweza wapi hawa walikuwa wanaombea tufungwe tena hawa?

Last season walitulamba 3-0 hapo Goodison park, draw ni ushindi kwetu bana siku ya leo.

#COYG !!! Together we stand.


#MosKwito !
 
1408816914878_wps_17_LIVERPOOL_ENGLAND_AUGUST_.jpg


The boys were down but not out .... ..

1408819440630_wps_30_Aug_23rd_2014_Liverpool_U.jpg



Ramboooooooooooooooooooooooooooooooo


1408819504920_wps_33_Aug_23rd_2014_Liverpool_U.jpg


Get in .... ..... ..


1408820537960_wps_45_Aug_23rd_2014_Liverpool_U.jpg


1408820593209_wps_47_Aug_23rd_2014_Liverpool_U.jpg


The boys thanks travelling fans for their support .... ... .

Next CL wednesday ... ... .


 
Du ni bora kuwa shabik wa manyema kuliko kuugua ugonjwa wa moyo wa ars, hawa jamaa ata wasajil vp nafas yao ndo ile ile,Kwanza ck mkija old 8 za kwenu kama miaka ileeeeeeee khe! khe! khe! kheeeeeeeeeee! ET UNAFURAHIA SURUHU DU!!!
 
Naona manyunyu ya Jana tayari watu wameanza kujificha,
 
Wilshere ana bahati ni muingereza afu kamfanyia faulo muingereza mwenzake ingekuwa otherwise ingekuwa Red pale

Kuna siku utakubali hapa kuwa Wilshere ni sawa na Cleverly na siku zinavyoenda hata Cleverly atamzidi Wilshere,Afadhali umekubali kuwa ile ilikuwa red card
 
Naona manyunyu ya Jana tayari watu wameanza kujificha,

Mkuu Belo hawa jamaa mwanzo wa lig tu wameanza kujificha je wakishaanza kuandamwa na majeruh na kuchapwa aidha mech hata 3 tutawaona kwel humu jamvin?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom