Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal na united sis tunapendana nasikia mnatatizo la kiungo mkabaji. Ooh msijal januar tutawauzia clevery na anderson kwa euro 15 kila mmoja msijali sanaaa
 
Arsenal walifanya makosa kumwachia lord Bendtner, the best striker in the world. To be fair to the lord, he is better than Sanogo.
 
Sturidge na Wellbeck uchezaji wao ni tofauti kabisa,Sturidge ni mfungaji mzuri tatizo hakupewa nafasi ya kucheza alipokuwa Man City na Chelsea na akawa hajiamini so Rodgers alimpa nafasi na akapata confidence Liverpool walikuwa na Suarez tu kama striker.Wellbeck ni the best defensive striker workrate yake ni kubwa na anasaidia sana kukaba but sio mzuri sana kwenye umaliziaji.Arsenal wanacreate nafasi nyingi sana walikuwa wanahitaji striker ambaye ni mzuri kwenye umaliziaji kuliko Giroud na Sanogo but kwa umaliziaji still Giroud ni mzuri kuliko Wellbeck

Mkuu nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani Ukifuatilia kwa umakini Sturidge akiwa Chelsea alikuwa akipewa nafasi basi alikuwa anacheza pembeni kutokana na watu ambao walikuwepo pale katikati na Rodgers alipompata akamuamini na akampa nafasi ya kucheza katikati (kitu ambacho dogo alikuwa anaking'ang'ania toka yupo chelse) so alipoipata nafasi aliitumia vizuri.
Kwa upande wa Welbeck naye ukifuatilia amekuwa akionekana ni Difensive Striker pale Man U kutokana na ukweli kuwa mara chache sana kucheza pale katikati kutokana na uwepo wa watu kama Rooney, Berbatove na baadae RVP halaf pia kutokana na mfumo ule wa Man U kusimamisha watu wawili mbele ilikuwa ni lazima mmoja arudi kuja kuchukua mpira (na hapo ndipo Dany alikuwa anatumika endapo kapangwa). So Binafsi naamin Dany anaweza akatakata pale Arsenal kutokana na kwamba yale majukumu ya kushuka kusaidia kukaba yatakuwa yamepungua yaani atakuwa si mtu wa kukaba sana na hii ni kutokana na mfumo wa Arsenal wa kumsimamisha mtu mmoja mbele so majukumu ya Dany yatakuwa kwa asilimia kubwa ni katika kushambulia na si kama alivyokuwa Utd alikuwa na 50/50 yaani kushambulia na kukaba.
So for me Danny atakuwa anashambulia zaidi akiwa Arsenal Fc tofauti na alivyokuwa Utd.
Huo ndio mtizamo wangu mkuu.
 
Danny Welbeck has admitted dreaming of playing for Arsenal even before his £16million deadline-day move to the Emirates Stadium from
Manchester United.
Welbeck revealed in an interview with Arsenal's website that he had always admired his new club's style from afar and pledged to capitalise on service from the Gunners' 'magnificent' midfield.


Read more: Danny Welbeck 'dreamed of playing for Arsenal while at Manchester United' | Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook

Cc Nzi, Belo, Bulldog.


:coffee::coffee::coffee:​
 

Cc Nzi, Belo, Bulldog.


:coffee::coffee::coffee:​


Maisha hayaendi bila unafiki,hata Cesc alisema timu anayoweza kucheza England ni Arsenal only lakini now yuko Darajani kwa Morinyo.Hata Ramsey atakavyotua Man United mwaka 2016 atazungumza hayohayo maneno
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Cc Nzi, Belo, Bulldog.


:coffee::coffee::coffee:​


Dah! Arifu umeniangusha! Hivi hata ungekuwa wewe umehamia Man United kutokana na circumstances zozote zile, si lazima uisifie timu yako mpya? Unaweza kuanza kuiponda tu timu yako mpya? Si utasugua benchi mpaka kalio liseme poh!?!
 
With important transfer businessstill needing to be done, Arsene Wenger spent deadline day in Rome for thePope's Match for Peace. The following is a transcript of the textmessages exchanged by Wenger and Arsenal chief executive Ivan Gazidisthroughout the day.
Wenger: Please keep me informed today, Ivan. Maybe a good deed onthis day will bring us good karma. Does the Pope believe in karma? :-/
Gazidis: I don't think so. Not sure.
Wenger: Grrrrr.
Gazidis: Don't worry Arsene, I'm confident things will go our waytoday. I'll keep you posted.
Wenger: Thx.
****
Gazidis: Danny Welbeck's here with the England squad. Hisagent offered him to us. Interested?
Wenger: Lololololololololol.
Gazidis: Ok.
Wenger: What's the dealio with Falcao?
Gazidis: Monaco want a £10m loan fee, player wants £346,000 a week.Man Utd, maybe City also interested.
Wenger: For a 28-year-old with one knee? Let United have him. Theycan tie him and Van Persie together and create one player with two good kneeson four times the wages.
Gazidis: Haha ok.
Wenger: 🙂)
****
Wenger: Any other forwards? I'm starting to get the Sanogosweats...
Gazidis: Welbeck could be best option. Wants a permanent deal, noloan. United closing in on Falcao.
Wenger: Uggggghhhhhh. Roberto Baggio is here. Maybe I should askhim to come out of retirement.
Gazidis: Haha.
Wenger: Baggio said no. Damn.
Wenger: Shevchenko overheard my offer, but I avoided his attemptsto make eye contact.
****
Gazidis: So...Welbeck?
Wenger: Uggggggggggghhhhhhhhhhhhhhhh. There's a little kid sittingbehind me. I'll ask him if he wants to play for us.
Gazidis: I'll have Welbeck do a medical just in case.
Wenger: Kid doesn't speak English. Had no idea what I was saying.
Wenger: Ok on Welbeck medical. Just deny it if anyone asks. ;-)
Gazidis: Will do.
Wenger: ;-)
****
Gazidis: Running out of time...
Wenger: Ffffffffuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Gazidis: Go on Welbeck? Also, I just remembered that you said you wanted a center back a coupleweeks ago.
Wenger: Fine. Yes. Welbeck could work maybe. He's young. He's beenplaying out of position. Maybe United didn't F him up too much. Ok, let's dothis. This could work. Whatever.
Wenger: Just don't pay more than what Liverpool paid for Balotelli.That comparison could make this deal look better for us when Mario decides hewants to be a chef in Tibet next year.
Wenger: As for CB...William Gallas still unattached?
Gazidis: Are you being serious? Sarcasm sometimes gets lost in textmessages.
Wenger: Yes. Serious. :-/
****
Gazidis: Welbeck done. Have a statement for the press release?
Wenger: No thanks.
Gazidis: Ok. Here's the release.
Wenger: Lost the charity match...thanks for asking.
Gazidis: Sorry.
Wenger: Never relying on Pope karma again.
 
Dah! Arifu umeniangusha! Hivi hata ungekuwa wewe umehamia Man United kutokana na circumstances zozote zile, si lazima uisifie timu yako mpya? Unaweza kuanza kuiponda tu timu yako mpya? Si utasugua benchi mpaka kalio liseme poh!?!

..................... ImageUploadedByJamiiForums1409786513.674331.jpg
 
welbeck yuko vizuri..............

Ushabiki bana hata sisi tukimsajili Giroud tutamsifia kuwa ni mkali,
Sisi huwa hatuchukii wachezaji tunaowauza kama nyie,tunamshukuru kwa alichofanya na tumefanya biashara nzuri
 
Back
Top Bottom