Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Egg on your face, THE DELUDED ONE. Hahahahahahahaaaaaa!!!!

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mkuu Prof alikataa kumchukua Welbeck kwa mkopo ndio nilipoweka hiyo artical hata official Gunners walisema Welbeck deal is off. Mimi sio Prof nitakupa habari jinsi zinvyotokea hiyo ndio issue na wala sija-claim kwamba nafahamu habari zote za Gunners inside out nitakupakulia as they come.... .... ..... .. nafahamu wivu unakusumbua huwezi kukaa kwenye jukwaa lenu ni lazima uje kuripoti hapa kwenye club yenye heshima popote pale ulimwenguni, You can not buy class ... ... ... thats Gunners for you. Mzee wa chuki binafsi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Falcao nilitoa hiyo figure kwa mkopo na Manure ni wivu tu umawasumbua kama nyie. Prof alitaka kumchukua jumla kwa £55 million lakini kwa sababu ya mshahara wake wa £450 000 tax free alizokuwa anapata kule kwao Prof akasema isiwe shari, with him or without him tutachukua EPL mwaka huu na akaamua kwenda kumwona papa kupata baraka zake .... .... watch out this space ... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mwishoe Wellbeck ndani!! teh teh teh..

Si umeona Prof yupo gado alimaliza usajili long time si unaona media yote ya UK leo inakenua .. ... ... .khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wewe endelea kushabikia timu za vichochoroni khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hapo Gunners mbona spana mkononi wanapokezana kila siku Diaby,Wilshere,AOX,Rosisky,Ramsey,Gibbs now hata Ozil nae kaanza kuambukizwa

We nawe huna kwenu .. ... ... .. hili jukwa la Gunners bana kha! Usajili umekwisha na dirisha limefungwa rudi kwenu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Sturidge na Wellbeck uchezaji wao ni tofauti kabisa,Sturidge ni mfungaji mzuri tatizo hakupewa nafasi ya kucheza alipokuwa Man City na Chelsea na akawa hajiamini so Rodgers alimpa nafasi na akapata confidence Liverpool walikuwa na Suarez tu kama striker.Wellbeck ni the best defensive striker workrate yake ni kubwa na anasaidia sana kukaba but sio mzuri sana kwenye umaliziaji.Arsenal wanacreate nafasi nyingi sana walikuwa wanahitaji striker ambaye ni mzuri kwenye umaliziaji kuliko Giroud na Sanogo but kwa umaliziaji still Giroud ni mzuri kuliko Wellbeck


Kamwambie huo uchambuzi Van Gaffe huenda mkaenda kuwa more than 7Up! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hata RvP alikuja akiwa spanner mkononi toka goons..ila kufika tu akatupa taji na mauzo ya jezi yake (ambayo hata msimu wa mwaka jana ndiyo iliyoongoza kwa mauzo). Unataka nini zaidi hapo?

Falcao atatupa mauzo ya jezi yake; na atatumika vizuri tu na kuleta mataji nyumbani kwa mataji :violin::violin:

Aisee .... .... ile mvua ya magoli ilikulowesha kabisa ukashindwa kuruka umerudi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mbu alikununulia baiskeli khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee umewahi lakini .... . dream on.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
1409660478430_wps_36_Image_posted_on_Instagram.jpg


Jack Wilshere (right) welcomes Arsenal new boy Danny Welbeck
to the team with an Instagram post



1409679302679_Image_galleryImage_Danny_Welbeck_in_Arsenal_.JPG



1409648981584_wps_2_image001_png.jpg




Sema tu core fans wa Manure wamechukia sana .... ... .
Sema tu wamebaki hawa waliopo JF ambao ni wapiga filimbi na zumari tu
 
mimi ni man utd lakini nimesikitika sana WELBECK kuondoka,huyu dogo atakuja kuwa success sana arsenal na man utd tutajuta kumuuza! hakuwa mfungaji sana man utd kwasababu alikuwa hachezeshwi sana na hata akichezeshwa anafanywa workhorsed kukakaba sana na ku harrass mabeki....kama atapewa nafasi kama anavyopewa sanogo WELBECK atafunga sana hapo arsenal....ana speed sana na ni mzuri wa one-twos
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
yaani wewe ata unga wa ubuyu sikuletei

mwaya usijal leo nimekuletyea tena za ufuta zanye maziwa ni tamujeeee??
ongeren kwa kapoint

......Sssshhhh basi ongea taratibu!!!, kuna mijitu humu Nzi na Belo, unawajua?
wamemfuata Welbeck huku tangu jana hata mate hatumezi!.....
Wakiskia nawe umeniletea tam-tam wataanza majungu yao!
:mwaaah::mwaaah::mwaaah:​
 
Last edited by a moderator:
BwjCQBXIUAA3WtQ.png


Ouch...this hurts

Cc: Mbu


.....na bado!
, mtamaliza maneno yote arifu ila ndio hivyo tena Dogo hakutaka Loan deal,
kang'ang'ana permanent move na dau likashushwa vile vile.

Falcao mgonjwa mgonjwa, Van Persie nae ndio hivyo hivyo, Welbeck mmemuuza
na Chicharito hayupo,....

yaaaaaaaaaani, 7Up mpaka rahaaa!!!!!!
 
Tungempata Cavalho kwa £20 million lakini wale Portuguese walikataa hilo dau tusubiri January kama Abu Diaby atakuwa bado anasuasua .. ..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Welbeck injured his ankle ... Typical Arsenal player, Diaby, Gibbs and Giroud have a new partner in the treatment room.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

......Sssshhhh basi ongea taratibu!!!, kuna mijitu humu Nzi na Belo, unawajua?
wamemfuata Welbeck huku tangu jana hata mate hatumezi!.....
Wakiskia nawe umeniletea tam-tam wataanza majungu yao!
:mwaaah::mwaaah::mwaaah:​

uzuri ni kwamba mpira ni upepo suipovuma toka kaskaz utavuma toka kusi
so endeleen ila welbeck naye hana muda mrefu upepo utahama tena kabla hata pay back time haijaisha.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Welbeck injured his ankle ... Typical Arsenal player, Diaby, Gibbs and Giroud have a new partner in the treatment room.

Wellberck nasikia kaumia kwe mazoezi ya team ya taifa.dah! Ile kusajiliwa tu

Arsenal ni hospitali kubwa ya rufaa (iliyosheheni madaktari bingwa tu); hivyo mchezaji akifika tu, lazima aumwe ili apate huduma ya madaktari bingwa waliopo Arsenal :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Dannymnyama, Danny the man, danny wa ukweli, dannymagoli, danny maspeed, daanny welubeki, danny the don, danny arsenali.....


zp_510360791_SM_0490_701B0F784DE87FBD567C41A481F3C35E_7405.jpg


welcome home Danny where Talents are Honored....
 
Back
Top Bottom