Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,460
Unbeaten ni zaidi ya uefa trophy
Kundi E huyu ndugu yetu mwenye ukoo na manure nahisi tutampoteza yuko pabaya mno
Unbeaten ni zaidi ya uefa trophy
Nani anakumbuka kwamba wewe ni un-beaten? la kwanza watu wanauliza umewahi kuwa bingwa?
kama bado unasema bado?...alf unaleta hivyo visiingizio..
salama lakini mkuu "......native"?:wacko:
Arsenal are in talks with Monaco striker Radamel Falcao's agent over a possible loan move.
![]()
![]()
Monaco hawakubali kumuuza Radamel Falcao bali, wamekubali
kumtoa kwa mkopo wa mwaka moja
Total cost £20 million - inaonekana wanataka ku-balance check book yao.
Prof yupo gado ameficha karata zake, lakini wachunguzi wa mambo wamebaini
Falcao Columbian star atatua Emirates on a d-day.
Na hapo ndipo Gunners watakuwa wamefunga kazi .... ... .. COYG
BTW nimeambiwa Morinyo tayari kapata tumbo la kuharisha .... .... ..
Mkuu huyu jamaa tayari katua real madrid tumemkosa
[FONT=open_sansregular]Arsenal are on the brink of signing Paris Saint-Germain midfielder Adrien Rabiot after the France Under-21 international's agent arrived in London. The Gunners are poised to complete an £11.9 million transfer for the 19-year-old.[/FONT]
Balantandaaaaaa u back bro???!!!MK Dons.....
Bala Is Always Here bro!Balantandaaaaaa u back bro???!!!
Bala Is Always Here bro!