MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Hio ni great analysis.
Man Utd wamesahau kuziba pengo la Rio Ferdinand, Patrice Evra na Nemanja Vidic, hawa walikuwa ndio wanahusika kuunda ngome imara ya Man Utd.
Lakini si mbaya watani wetu wanapangua na kupanga upya, sie twapita pembeni tukichagua.
hahahahaha!!!
Bado wana kazi kidogo, labda wakileta a strong DM hizi dk za mwisho!!!