Kuwasajili kina Falcao sio tatizo kiungo mkabaji tayari kamsajili Blind na huenda January akamsajili Strootman deal ya Falcao ni loan huenda ikawaamsha Rooney na RVP wakajua kuwa hawako salama
On my view ninahisi LVG anataka kujenga timu upya wachezaji wengi aliowakuta amegundua hawafai kwenye mfumo wake so hakuna ambaye yuko salama.Tayari Kagawa,Chicharito,Cleverley,Wellbeck,Fellaini,Anderson,Rio,Zaha,Nani kawaambia hawataki. Huu utakuwa msimu muhimu sana kwa RVP,Fletcher,Smalling,Young,Evans,Carick,Valencia,Rafael wasipofanya vizuri msimu ujao huenda nao panga likawapitia