Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,649
- 25,640
Wakuu imebakia saa moja dirisha la usajili kufungwa.
Arsenal tayari wamefanya usajili wa Danny Webeck kutoka klabu ya Manchester Utd.
Danny likiwa ni jina la utani kwa kijana huyu mwenye asili ya Ghana anaitwa jina kwa kirefu Daniel Nii Tackie Mensah Welbeck.
Welbeck aligunduliwa na wakufunzi wa mzee Alex Ferguson akiwa na umri wa miaka 6 tu na akawekwa kwenye mpango maalum wa kukuza vipaji vya vijana au Academy.