Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

WATANZANIA wengi hatuna Akili.

Yani tungekuwa tunaweza kujadili bajeti kwa NGUVU Hivi tungefika mbali sana.

ENDELEENI KUTESEKA NA KUJADILI MAMBO YASIYO NA MAANA WALA FAIDA KWENYE MAISHA YENU.
mkuu kwenye bajeti ni pagumu kuna TRAB na TRAT yaan yanaumiza kichwa bora tujadili haya
 
Usitetee ujinga
Wanazengo tunataka kumwepusha masanja na huyo shetani wa kike

Mwanamke anaechepuka na akaamua kuzaa nje huyo hafai kabisa,anatakiwa apewe adhabu ya kifo kabisa,unajua ada zinavyoumiza kichwa sahv afu eti usomeshe mtoto anaefanana na katibu.

Kingine tunamuweka Masanja akili sawa ili aache ushamba wa mapenzi,utazan yeye tu ndo kaoa
Akichepuka Ila asizae nje ni ruksa tu eti?
 
Kwahiyo aliyekufa huna haja naye sasa unampigania Masanja?
Ni heri ungeomba polisi wafuatilie kwa upya kifo cha kijana wa watu.
Sisi polisi hatuwezi kuhangaika na mpumbavu anayeshoboka na wake za watu, yaani ni sawa na kibaka akaibe kwenye kibanda cha wauza petrol, wakimpiga kiberiti sie hatuwezi kubugudhi wauza petrol!
 
Kwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu kidomodomo chake?
Ndiyo...amejifungulia mlango wa nuksi yeye mwenyewe kwa ulimbukeni wake wa kishamba. Mbona wenzake akina joti wako kimya, kwani hawana mafanikio ya kuringishia watu?

If you make your personal life a public property, the public must mess with you when you mess up your life
 
Shida masanja ana maadui wengi, aliwadhalilisha wengi enzi za ze comedy, ana maadui ambao wanaamini yeye ni janja janja hamtumukii mungu kiukweli, bado kuna watz wanapenda udaku mabingwa wa kushadadia jambo, kupunguzia stress kwenye visa na mikasa ya watu.
 
Kikampuni u hwara hivi kiliibuka na kuwapa matumaini watanzania ya kidownload pesa ukiweka elfu 20 unapewa kazi ya kuangalia matangazo unapata elf 4 kwa siku . watu wakawekeza malaki na mamilioni kampuni ikayeyuka mtandaoni. Waliowekeza pesa bado wapo kwenye maumivu makali
Kalynda ndio nani? Kiki inatrend bibie sijui chochote ebu nipe mkasa maana naona Hili jina linatajwa Sana ila sijui kafanya nini
 
Back
Top Bottom