Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Ila katibu ana pisi kali sijawahi ona nimemfananisha na ma star wa kike wa bongo bado sijaona wa kumlinganisha nae iweje ajiue kisa mke wa masanja na lile komwe lake?
U Neva no...labda ana mauno feni inasubiri
 
Ila katibu ana pisi kali sijawahi ona nimemfananisha na ma star wa kike wa bongo bado sijaona wa kumlinganisha nae iweje ajiue kisa mke wa masanja na lile komwe lake?
Inashangaza sana.. mke wa katibu anajiita nani huko IG.?
 
Kasema ni kweli katibu na monica walikuwa na mahusiano na alishwah kukuta ujumbe wa karatasi kaandikiwa katibu,na siku wameenda honeymoon Dubai monica alimpigia simu mke wa katibu analia kwanin wameenda hawjaampa taarifa,na anasema mmewe alikuwa muoga sana haamin kama kajinyonga na kwa sababu gani ajiue?mengine ni anahofia usalama wake kuna watu wanatumwa kujua alipo na hawajui anaogopa sana ana mpango wa kusafiri nje ataongea kila kitu na kuweka wazi
DuHH... noma hiii..
 
uko sahihi lakini hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja. yeye mwenyewe anapaswa kujifunza kuwa kimya na masuala yake binafsi yawe private si kila anachofanya hata biashara zake, kilimo, mke etc kila mtu ajue.

Hakuna mwenye tabia kama ya masanja ya kuanika maisha yake hadharani aliyebaki salama. Hakuna...shetani yupo kazini kila wakati
Sasa huyo si mshamba ndio maana kila kitu anachofanya anataka watu wajue we ushawahi kumuona mke wa mpoki au watoto wa mpoki.
 
N
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Ndugu hii show kaitaka Masanja yeye mwenyewe.Kama angetulia yangeisha Lakin alianza mipasho kwa watu wasiohusika.Aidha Jeshi la Polisi halijatutendea haki sisi wananchi.IGP Wambura anasema uchunguzi ufanyike akiwa serious.Baada ya simu kutoka juu ,kamanda wa Dsm anajibu simple tu .Hiyo inampa Masanja nguvu kurejea nchini.Kwakuwa mpango ulisukwa vizuri ndio maana Masanja akajifanya kusafiri.Mambo yote yatawekwa kweupe .Mbona bado.
 
Yule dogo comedian akili yake ndogo sana nashangaa hata hao wanaojaa kwenye kijikanisa chake na wao ni walewale tu, yaani katengeneza sinema kaua mgoni wake anataka kuuaminisha umma kwamba dogo alijinyonga, ni vile tu marehemu naye hana ndugu wenye akili ingekua Kenya ama mahala pengine pangechimbika, hivi mtu anawezaje kusemekana amejinyonga na Tai ikakatika akachukua shuka, mbona mnaleta maigizo ambayo hata watoto wadogo hawafanyi? nchi ngumu sana hii
Tai imekatika akachukua shuka?nnavyosikia Yale maumivu ya kujinyonga huwa MTU akinusulika pale harudii tena sasa huyo imekuwaje kanusulika tai akaenda kuchukua shuka
 
Masanja na kundi lake wote hawastahili kuonewa huruma hata kidogo.

waliharibu maisha ya watu wengi sana katika kipindi chao cha "the oroginal commedy" segment zao zile kama mnazikumbuka za 'umefulia'....zilizalilisha watu sana. pia walimchora sana Hayati Lyatonga. wacha avune dhambi alizopanda. KARMA.........
Dah
This thinking capacity must be diagnosed
 
Kiki sasa hivi ni kalyinda,ya Masanja yamebaki kuwa suala la kifamilia. Ila mkewe kakonda sana daah maisha haya ni misuko suko anyway matatiz hio ni daraja.

Masanja ajifunze kuchunga mdomo wake ilikua too much, aige kwa mwenzie AY walishatosana na mkewe zamaaani ila wananzengo wakakosa cha kumsakamia maana hakua na maneno mengi ya kumpamba mkewe
AY na mke wake si wanaishi Marekani,? Wameachana?
 
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Hawajui kuwa wanamuimarisha, hayo yatapita ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom